Mwanaume mmoja Raia wa Nchini Uturuki anayefahamika kwa jina la Mehmet Bilal C, amepata dola milioni 2.5 ambazo ni sawa na bilioni 6.3 za Kitanzania ndani ya miezi mitano kwa kuuza maji feki ya Zamzam, bidhaa inayoheshimiwa sana na Waislamu duniani kote.
Mshukiwa alidai alichanganya maji...