maji kasaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    KERO Baadhi ya maeneo Kigoma hakuna maji zaidi ya wiki

    Maeneo ya Kazegunga, Msimba, Kasaka hawana maji zaidi ya wiki. Watu hutumia maji ya visima ambayo si salama kwa afya ya binadamu. Ziwa liko km 10 tu lakini maji hayatoki. Wahusika wachukue hatua mara moja kuondosha kero hii.
Back
Top Bottom