Salaam wakuu
Ni takribani mwezi na siku kadhaa tokea wakazi wa maneno ya Kinyerezi mpaka Kifuru na viunga vyake waone maji yakitoka katika mabomba yao ya maji ya Dawasa huku pakiwa hakuna taarifa yoyote kutoka Dawasa Kinyerezi ya kwanini huduma hiyo haipatikani
Tatizo la Maji maeneo haya...
Ni juzi Waziri alitembelea na akatoa maamuzi mbalimbali cha kushangaza hadi sasa hakuna maji.
Watendaji wenu wanatuletea mambo ya mgawo wa maji siku moja kwa wiki Alhamisi cha ajqbu hiyo Alhamisi hayatoki. Mbezi Mwisho maji yanatoka full days kwanini mnatuletea siasa.
Kwakuwa tunajua wewe ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.