Wakuu,
Msemaji wa Mbezi Beach nimekuja kwa mara nyingine.
Kwa Mbezi maji yanakatika kila siku na wakati mwingine inaweza kuwa siku mbili na zaidi. Muda wa kukatika ni kuanzia jioni (kwenye saa kumi hivi) mpaka kesho yake kwenye saa nne au tano hivi. Kwahiyo kwa siku mara mnyingi maji hutoka...
Wakuu, kumbe vitu vikiruka kupitia JF mambo yanaenda eeeh? Baada ya JF kurusha maji yamerejea, hapa ndio pa kuleta kero zetu Wakuu.
Tukaoge vizuri na kuosha vyombo vichafu vya siku mbili.
JF iishi milele🔥🔥🔥
Pia soma: KERO - Mbezi Beach kwa Zena hatuna maji siku ya 3 leo tatizo ni nini?
Wakuu salam,
Wakazi wa Mbezi Beach hatuna maji ni siku ya tatu sasa, kuna nini?
Au kuna matengenezo yalitangazwa na yamenipita? Maana sijasikia popote, hata kama kuna matengenezo ndio siku tatu jamani? Mnafikiri tunaishije?
Halafu maji hayajaacha kuwa na machafu/vumbi! Sasa vumbi kwenye maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.