Wakuu salam,
Wakazi wa Mbezi Beach hatuna maji ni siku ya tatu sasa, kuna nini?
Au kuna matengenezo yalitangazwa na yamenipita? Maana sijasikia popote, hata kama kuna matengenezo ndio siku tatu jamani? Mnafikiri tunaishije?
Halafu maji hayajaacha kuwa na machafu/vumbi! Sasa vumbi kwenye maji...