maji morogoro

Stephen Hilary Ngonyani (25 May 1956 – 1 July 2018) was a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Korogwe Rural constituency since 2010.
He died at Muhimbili National Hospital (MNH) on 1 July 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Waziri Aweso ateua Mkurugenzi Mpya wa Maji Morogoro, aelekeza iundwe timu maalum ya Wataalam

    Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso leo terehe 22 February 2025 amefanya mabadiliko ya kiutendaji katika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA). Waziri Aweso kwa Mamlaka aliopewa na Sheria ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira Na. 5/2019 amemteua CPA Sais Andongile Kyejo...
  2. A

    KERO Kero ya Maji Lukobe - Morogoro

    Salaam, kwa namna ya pekee naomba kuwasilisha kero yangu kuhusu upatikanaji wa maji manispaa ya Morogoro. Kumekuwa na utaratibu wa maji kutoka kwa siku, napo kwa masaa machache. Ni ajabu kwasababu Morogoro ni mkoa ambao una vyanzo vingi sana vya maji, lakini wananchi wa manispaa ya Morogoro...
  3. S

    KERO Morogoro: Wananchi wa Mindu hawana Huduma ya Maji, wanatumia ya kwenye makorongo

    Mimi Mkazi wa Mindu, Manispaa ya Morogoro jamani huku kwetu kuna kero ya maji mno licha ya kuwepo kwa bwawa lakini sisi hatuna huduma ya maji mpaka imekuwa kero inatulazimu kutumia maji ya kwenye Visima na Makorongo hali ambayo ni hatari kwa Afya zetu na ni hatari kupata magojwa ya milipuko...
  4. S

    KERO Morogoro: Wananchi Mkundi waandamana na madumu mbele ya Mkuu wa Wilaya "Kwa wiki maji yanatoka saa moja"

    Akina mama Morogoro waandamana na madumu matupu wakidai maji Wataka Mama Samia awasaidie Kiongozi wa maji asema hajui kama wana kero Waziri wa maji upo na Wizara ya Maji mpo? Pia soma Waziri Aweso: Bilioni 195 kumaliza tatizo la maji Morogoro. MORUWASA Mkizingua tunazinguana KERO - Waziri...
  5. A

    KERO Maji eneo la Tungi, Morogoro bado ni changamoto

    Waziri wa Maji Juma Aweso alivyokuja alibadilisha uongozi kwenye idara ya maji hapa Morogoro na akasema maji yawe yanatoka hadi weekends kwa katikati ya wiki waweke utaratibu kama kutoka yatoke mara mbili au moja na kuanza kutoka nikuanzia asubuhi hadi saa sita usiku, lakini yanakuja kutoka...
  6. Roving Journalist

    Waziri Aweso: Bilioni 195 kumaliza tatizo la maji Morogoro. MORUWASA Mkizingua tunazinguana

    Waziri Aweso aunguruma Morogoro Salam za Wizara ya Maji zikitolewa na Waziri wa Maji Jumaa Aweso kwa wananchi wa Manispaa ya Morogoro waliokusanyika katika uwanja wa Jamhuri katika Mkutano wa hadhara wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika ziara inayoendelea mkoani Morogoro leo terehe 06...
  7. chiembe

    Morogoro: Waziri wa Maji Jumaa Aweso awaumbua mamlaka ya maji Morogoro, tangu mwezi February hawajaweka dawa ya kutibu maji katika matenki yao

    Hii kwa kweli inashangaza, tangu mwezi February mwaka 2024, jamaa wanasambaza maji kwa wananchi yakiwa hayajatibiwa (treated). Kwa hiyo kwa muda wote wananchi wamekuwa wakinywa maji yenye vimelea vya magonjwa. Si ajabu mkoa wa Morogoro una maambukizi makubwa sana ya magonjwa ya matumbo, hasa...
  8. BigTall

    KERO Waziri Aweso unasema DAWASA kuna hujuma? Njoo Morogoro, huduma ya Maji ni kero kubwa

    Naomba Serikali kupitia Waziri wa Maji, Juma Aweso afuatilia chanzo cha Wakazi wengi wa Mkoani Morogoro kukosa huduma ya maji. Hii hali inatutesa sisi wakazi wa Morogoro kwa muda mrefu sasa, tumekuwa tukipiga kelele kwa mamlaka lakini ni kama hatusikilizwi. Baadhi ya Watendaji wa Mamlaka ya...
Back
Top Bottom