maji mtaa wa kanindo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Changamoto ya maji Kanindo Kata ya Kishiri, Wilaya ya Nyamagana

    Changamoto yetu kubwa kutoka Mtaa wa Kanindo Kata ya Kishiri Nyamagana Mwanza ni suala la maji hakuna kabisa. Wakazi wa maeneo haya wanapata sana tabu ya kupata maji hata ya kunywa. Mradi wa maji ushakamilika huu mwaka sasa wananchi hawajui ni nini changamoto haswa bomba za maji kutosambazwa...
Back
Top Bottom