Wadau,
Mwanza ni Jiji kubwa kwa wingi wa watu na rasmilimali lakini linakubwa na tatizo sugu na kubwa la mgao wa maji ambao haueleweki.
Mfano: Nyegezi maji kwa wiki baadhi ya mitaa wanapata mchana maramoja kwa wiki au wanatolewa usiku wa manane! Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa (Butimba)...