Wakuu,
Kwahiyo huduma ya maji tunapewa kama hisani, yaani tunabembeleza kupatiwa huduma bora na stahiki!
Kwamba kupata maji siku za sikukuu na weekend ni mpaka maelekezo yatoke kwa Rais?:BearLaugh::KEKLaugh:
Kwahivyo huo mradi hautakuwa unajitosheleza, maji yatakuwa yanakatika kama kawaida...