maji segerea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Nina masikitiko makubwa: Pamoja Waziri kuchukua hatua na kutoa maelekezo, bado Kinyerezi maji yanatoka kwa manati

    Mh waziri una watendaji viburi sijawahi kuona. Au wamegoma? Kuna shida gani ndani ya wizara yako? Tumekaa miezi na miezi maji hayatoki na leo hakuna maji pamoja na ujio wako. Hawa watendaji wametoa wapi. Ni Watanzania kweli hawa? Wana roho mbaya sana. Kama tank halikuwa na maji na wamejaza...
  2. Dar: Waziri Aweso amemsimamisha Meneja wa DAWASA, Kinyerezi Burton Mwalupaso Kwa kushindwa kutekeleza vyema majukumu yake

    AWESO AMUWEKA PEMBENI MENEJA DAWASA KINYEREZI, MALALAMIKO YA WANANCHI YACHANGIA Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemsimamisha Meneja wa DAWASA Kinyerezi Burton Mwalupaso Kwa kushindwa kutekeleza vyema majukumu yake ikiwa ni pamoja na kushindwa kujua Takwimu kamili za mahitaji ya Maji kwenye eneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…