Naandika haya malalamiko rasmi kwenda kwa Rais wa Januhuri Muungano wa Tanzania na Waziri wa maji, kuhusu kukosekana kabisa kwa usambazaji wa maji eneo la Tabata kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja sasa
Kukosekana kwa maji kwa muda mrefu kumegusa maisha yetu ya kila siku na kumeunda hatari...
Kwenu Wahusika, kwa mara ya pili!
Naandika kutoa malalamiko yangu na kuhusu kukosekana kwa maji kutoka DAWASA katika maeneo mengi ya Tabata, kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa ambayo pia inatufanya kuingia gharama kubwa kupata maji hayo. Bill yetu ya hivi karibuni inaonyesha matumizi ya maji kuwa...
Ndugu DAWASA na Waziri wa maji,
Ninaandika kueleza hasira yangu kuhusu tatizo linaloendelea la ukosefu wa maji katika baadhi ya maeneo ya Tabata Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa hatujawa na maji, na licha ya kupiga simu mara kwa mara kwa laini ya huduma kwa wateja, tumeambiwa kwamba hawana taarifa...
Mhandisi Mkama Bwire, Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) amesema sasa changamoto ya maji inyoikumba Tabata itakwenda kuisha Disemba
"Kuna Tanki kubwa lenye uwezo wa kuhifadhi lita za Maji milioni 9 kwa siku, ambalo linajengwa kwa...
Sijui hii mamlaka inakwama wapi, ni wiki ya nne sasa Tabata Bonyokwa hatuna maji. Hii imekuwa kero ya miaka na mikaka na bado hatujapewa ufumbuzi. Tulipangwa kuwa kinajengwa kituo cha kusukuma maji, kingekuwa tayari Aprili lakini leo hii tunaelekea Julai hakuna matumaini.
Kuna siku mabomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.