Sisi Wakazi wa Mtaa wa Kisonge na Mtaa wa Bin Abeid hapa Mkoa wa Mjini Magharibi tuna changamoto ya mifumo ya Maji taka kutowekwa katika mazingira mazuri na kwa ufupi ni kuwa Miundombinu imeharibika lakini Viongozi wetu hawachukui hatua.
Kuna mabomba na chemba za majitaka zinavujisha maji...
DAWASA Wametengeneza Chemba iliyokuwa inamwaga maji taka Ilala Sokoni.
Awali Mdau wa JamiiForums.com alisema, "Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana kutokana na chemba ya maji taka kuziba na kutiririsha maji taka yenye kinyesi barabarani ambapo wafanyabiashara wa soko la mbogamboga na...
Taarifa hii iende moja kwa moja kwa mamlaka ya Maji safi na maji taka mkoa wa Dar-es-salaam, DAWASA na wadau wote wa mazingira na Afya kwa ujumla.
Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana kutokana na chemba ya maji taka kuziba na kutiririsha maji taka yenye kinyesi barabarani ambapo...
Habari viongozi naiman mpo poa nipo hapa kutangaza biashara yangu mimi noifundi bomba wa majumbani na building materials pia ambae nimebobea pia tuna duka la hardware lipo kariakoo kwa huduma zaid 0699361938
Mitaa ya Mbeya kuna “njemba” zimepewa tenda za kukusanya taka kwenye kila kata lakini zinaweza kupita siku tatu hadi nne gari ya taka haijapita kubeba taka sasa sijui pesa za taka wanakusanya kwa ajili ya nini.
Sasa tuachane na huo uchafu ambao wenye mamlaka wameonekana kushindwa kutatua...
Unapotua tu katika mtaa huu wa Keko Mwanga katika Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam utagundua mabadiliko ya hewa tofauti na ulipotoka, harufu inayotoka hapa, hewa inayovutwa eneo hili si ya kawaida na maeneo mengine, harufu ni kali na mbaya ya uchafu.
Harufu hii inatokana na mitaro ya maji...
Hali ni mbaya sana kwetu Askari Polisi tunaokaa kwenye nyumba za kesho hapa maeneo ya kituoni. OCD karuhusu magari ya maji taka yamwage kinyesi kwenye makazi ya Askari.
Simu yangu ina tatizo la camera, lakini nathibitisha kesho nitapata picha nzuri zaidi.
Dereva wa Gari la majitaka anatamba...
Licha ya kutambulika wazi kwamba Kariakoo ni sehemu muhimu ya kibiashara ambayo inajumuisha shughuli mbalimbali ambazo zinafanya kuwa chanzo nyeti cha mapato nchini, lakini nashangazwa na mamlaka kushindwa kuwajibika kuzingatia usafi wa mazingira katika eneo hilo.
Ni zaidi ya Wiki mbili sasa...
Taarifa iwafikie Idala ya Maji safi na maji taka mkoa wa Mbeya.
Hivi huwa mnautaratibu wa kukagua chemba za maji taka hapa jijini maana mji mzima umekuwa ukinuka harufu ya maji taka.
Mwanzo ilikuwa chemba ya pale Sabasaba karibu na ofisi za CCM, ilikuwa ikivujisha maji taka kwa muda mrefu sana...
Habari Wakuu, natumai mnaendeea vizuri.
Msaada tutani kwa mwenye kufahamu dawa za Kichina zinasaidia kushusha maji kwenye shimo la choo kinachojaa haraka.
Chuo cha SUA Campus ya Mazimbu kinatiririsha maji taka ya chooni kwenye mifereji ya barabara ni zaidi ya Mwaka sasa.
Ukipita ukielekea maeneo ya Lukobe ni harufu tupu, je angekuwa mtu binafsi angeruhusiwa kufanya hivi?
Mamlaka husika zichukue hatua.
Anonymous
Thread
barabara
majitaka
mwaka
sokoine university of agriculture
sua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.