HABARI NDUGU ZANGU WANA JAMII FORUMs
Nimekua nikisikia kua ulaji wa NDIZI kupita kiasi yaani ikiwa ndizi ndio chakula kikuu kwa wanawake hufanya uke kua na maji mengi
kimekua na tetesi kua wanawake wengi wa kabila la KIHAYA wana maji ukeni sababu ni ulaji wa NDIZI
Je swala hili ni kweli kitaalamu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.