maji ya kilimanjaro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baada ya Maji ya Kilimanjaro Kuchakachuliwa, Je Maji Yako Bora ni Yapi?

    Wahuni wanachakachua sana maji ya chupa ya Kilimanjaro. Mimi nina zaidi ya mwaka mzima sinywi maji ya Kilimanjaro. Maji yangu pendwa kwa sasa ni Dew Drop. Je wewe unakunywa maji gani?
  2. Maji ya kilimanjaro sio mazuri siku hizi

    Watu wanaofanya kazi ya production huko acheni kutuwekea chemical nyingi hadi maji yanakuwa machungu na inaharufu ya dawa kabisa. Haya maji ndio yalikuwa the best sasa kama mnazidisha chemikali tutaishije? Badilikeni hadi mtu anaugua sasa kisa midawa yenu na inanuka siku hizi. PLease...
  3. Watengenezaji wa maji ya Kilimanjaro acheni kuyachakachua, mnaua brand yenu

    Ni nani mwekezaji kwenye hii kampuni ya Kilimanjaro wakuu maana anauwa soko lake bila yeye kutambua miaka ya nyuma kidogo hii kampuni maji yake mtu wa kawaida ukinywa basi. Unajiweza lakini sijui Nini kimewakuta maji yao ni machachu hafadhali maji ya kisima au Bomba. Yani nakunywa maji yao si...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…