Mahakama ya hakimu Mkazi Arusha imewasomea maelezo ya awali washtakiwa Philemon Mollel(Monaban)63,ambaye ni mfanyabiashara maarufu jijini Arusha na mwenzake Baraka Taitas Mollel(43)wanaokabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya Silaha.
Akisoma maelezo hayo Leo mbele ya hakimu wa mahakama...