majiko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Natafuta

    Nauza laptop & phone accessories/solar /flat TV na majiko ya gesi kwa jumla na rejareja bei mserereko

    Ukiitaji chochote hapo juu mkuu nicheki Bei zangu ni za viwandani na bidhaa ni uhakika. Pia ukiitaji ushauri kuhusu biashara hizi nipo tayari Mikoani natuma kwa uaminifu Sana Whatsup 0764225747 Kwa Mungu yote yanawezekana
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Gwau Awagusa Wanawake wa Singida DC & Ikungi kwa Majiko ya Nishati ya Gesi ya Kupikia

    MBUNGE MARTHA GWAU AWAGUSA WANAWAKE WA SINGIDA DC & IKUNGI KWA MAJIKO YA NISHATI SAFI YA GESI YA KUPIKIA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia Gwau amekabidhi majiko ya Gesi 60 kwa wanawake wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida na Wilaya ya Ikungi Disemba 21,2024 Ikiwa ni...
  3. Stephano Mgendanyi

    Wananchi Dodoma Jiji Wagawiwa Majiko ya Gesi 1,000 Kuunga Mkono Nishati Safi

    WANANCHI DODOMA JIJI WAGAWIWA MAJIKO YA GESI 1000 KUUNGA MKONO NISHATI SAFI -RC Senyamule ampongeza Mbunge Mavunde kwa ufadhili wa majiko -Vituo vya Afya,Shule,Vituo vya kulea watoto na Mama/Baba Lishe wanufaika -Mbunge Mavunde amuunga mkono Rais Samia kwenye kampeni ya Nishati safi Dodoma📍...
  4. Friedrich Nietzsche

    Natafuta anaeweza kutengeneza au wanapouza aina hii ya majiko

    Hii ni nusu oven https://youtube.com/shorts/Cq65cJXrEDc?si=OCHus-xjbSdVyx65
  5. J

    Majiko ya kisasa yanayotumia oil chafu

    MREI Company Limited ni watengenezaji na wauzaji wa nishati safi ya kupikia inayotumia Oil chafu, lakini pia wanahitaji support kutoka kwa wadau na serikali ili kuweze kuiendeleza technologia hii ili iweze kua na matokeo chanya katika uchumi wa Taifa, utunzaji wa mazingira, uondoaji wa...
  6. sanalii

    Kama umeme ni mwingi upungue bei tupikie majiko ya umeme

    Kwakua sasa umeme umekua mwingi kuliko matumizi, sasa upungue bei, watu wanunue majiko ya umeme, tuwe tunatumia umeme na gas, maana kwanza sasa mkaa umekua kama madawa ya kulevya. Pia Soma - TANESCO: Umeme tunaozalisha ni mwingi mahitaji ni madogo nchi nzima, hakuna mgawo kwa sasa
  7. Stephano Mgendanyi

    Prof. Ndakidemi Agawa Majiko ya Gesi Jimboni Kwake

    MHE. PATRICK NDAKIDEMI, MBUNGE AGAWA GESI JIMBONI KWAKE. Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Mhe. Prof Patrick Ndakidemi leo tarehe 06.03.2024 aliwaalikaa Viongozi wa Matawi wa Chama cha Mapinduzi CCM(Wenyeviti wa Matawi, Makatibu wa Matawi na Wenezi wa Matawi) wote katika Jimbo la Moshi...
  8. hamza mahundu

    Majiko ya mkopo ya induction kianzio ni 40700/= tunakupa na sufuria 2 na kikaangio kimoja bure

    JIKO LA MKOPO. 40700/= Okoa gharama ya gesi na mkaa. Ivisha maharage Kwa Tsh 350 tu. Umeme kidogo , okoa muda jikoni Tutafute kwa namba Whatsap. 0620135671 Call and sms 0620135671
  9. Technophilic Pool

    Napata wapi majiko ya maranda Mwanza?

    Wakuu msaada, Nimetokea Iringa huko nimezoea kuona majiko ya maranda lakini Mwanza natafuta siyaoni. Msaada tafadhali
  10. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Mbunge Ester Midimu Atoa Baiskeli 400 na Majiko ya Gesi 400 kwa Viongozi UWT Mkoa wa Simiyu

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu Ester Midimu ametoa Baiskeli zaidi ya 400 na majiko ya Gesi zaidi ya 400 kwa viongozi wa Kata kupitia Umoja wa Wanawake (UWT) wa mkoa huo ili kuwawezesha kufanya kazi za Chama Cha Mapinduzi na kutunza mazingira. Mbunge huyo amesema wanawake hao wamekuwa...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Santiel Kirumba Aongoza Maadhimisho ya Mtoto Njiti Duniani, Agawa majiko ya Gesi, Aiomba Serikali Iongeze Likizo Mama Aliyejifungua Mtoto Njiti

    MBUNGE SANTIEL KIRUMBA AONGOZA MAADHIMISHO YA MTOTO NJITI DUNIANI, AGAWA MAJIKO YA GESI, AIOMBA SERIKALI IONGEZE LIKIZO MAMA ALIYEJIFUNGUA MTOTO NJITI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba ameongoza Maadhimisho ya Mtoto Njiti duniani katika Halmashauri ya Wilaya ya...
  12. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Lucy Mayenga awawezesha Mama lishe majiko ya gesi Mkoa wa Shinyanga

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga ameendelea kuwafikia Wajasiriamali Mkoani Shinyanga ambapo leo ilikuwa zamu ya Mama Lishe Manispaa ya Shinyanga kupatiwa msaada wa Majiko ya Gesi 165 yenye thamani ya Shilingi Milioni 8.2 kwa ajili ya kuwarahisishia kazi katika...
  13. Crocodiletooth

    Naomba ufafanuzi kwa anayetumia majiko haya ya induction je yanafaa kwa uchumi wa kitanzania

    Inasemekana ndio majiko bora zaidi duniani na salama kuliko majiko yoyote yale, kwa anayetumia atujuze kuhusu sisi wanyonge, je yanatufaa?
  14. Stephano Mgendanyi

    Mhe. Aysharose Mattembe Achangia Milioni 20 Kununua Majiko ya Gesi 500 kwa Wanawake wa Mkoa wa Singida.

    MHE. AYSHAROSE MATTEMBE ACHANGIA MILIONI 20 KUNUNUA MAJIKO YA GESI 500 KWA WANAWAKE WA MKOA WA SINGIDA SEMINA YA MAFUNZO YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA UWEKEZAJI, RC MISSION MJINI SINGIDA KAULI MBIU: "MAZINGIRA YANGU MTAJI WANGU, YATUNZE YAKUTUNZE" Mattembe Golden Women Foundation (MGWF)...
  15. Stephano Mgendanyi

    Aysharose Mattembe Achangia Shilingi Milioni 10 Kununua Majiko ya Gesi kwa Wanawake wa Singida

    AYSHAROSE MATTEMBE ACHANGIA MILIONI 10 KUNUNUA MAJIKO YA GESI KWA WANAWAKE Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe amefanikisha Semina kubwa ya mafunzo ya Utunzaji wa Mazingira na Uwekezaji kwa wanawake wa UWT Mkoa wa Singida huku Akiwapatia Majiko ya Gesi yenye thamani...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mhe. Msongozi - Atoa Misaada ya Cherehani 60, Mbegu za Soya, Majiko ya Gesi 106 na Vifaa Tiba Ruvuma

    MHE. JACQUELINE MSONGOZI - ATOA MISAADA YA CHEREHANI NA VIFAA TIBA VITUO VYA AFYA MKOA WA RUVUMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma na Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Jacqueline Ngonyani Msongozi amefanya ziara ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono kwa vitendo...
  17. U

    Vifaranga vya kuku viwekewe majiko ya kuvipa joto hadi umri gani?

    Ndugu wanajf na wafugaji wa kuku, hivi vifaranga vinatakiwa viwekewe chanzo cha joto hadi vifikishe umri upi?
  18. Unavoidable Servant

    Ni brand gani ya haya majiko ya gesi ya plate mbili iko imara na ndio habari ya mjini kwa sasa?

    Wakuu JF ndio kila kitu, kabla ya kukurupuka kwenda shopping ni vyema ukipata muongozo JF. Nimenunuwa Mara mbili majiko makubwa West Point yenye plate mbili gase na plate mbili umeme chini oven lakini yote yamezinguwa, hili la Pili Sasa hivi halitowi moto wa blue linatowa moto kama koroboi na...
  19. comte

    Marekani wamegundua kuwa majiko ya gesi ni chanzo cha maradhi ikiwemo asthma hasa kwa watoto

    Tunaponea wapi=mkaa mazingira; kuni mazingira; gesi asthma. au tuache kupika kabisa ==== Federal agency considers ban on gas stoves following report linking them to childhood asthma A blue flame from the burner of a natural gas stove. (David McNew/Getty Images) The U.S. Consumer...
  20. The Assassin

    Kampuni ipi ina majiko imara ya umeme?

    Wakuu naomba kuuliza. Ni kampuni ipi ina majiko imara ya umeme/gas? Jiko linalohitajika la umeme, liwe na plate 2 za umeme na 2 za gas. Natanguliza shukurani.
Back
Top Bottom