Dar ni sehemu ninayowambia watu wengi sana kuwa kama atashindwa kutafuta maisha eneo hili basi ana safari ndefu sana ya kufanikiwa, ni sehemu ambayo biashara nyingi zinakubali na zinakutoa kwa kipindi kifupi kama ukiamua kujitoa Afe kipa Afe beki.
Nimeona biashara nyingi sana ila hizi ni...