Habari zenu wanajukwaa,
Leo alfajiri nimeamka nikashangaa puani yanatoka majimaji Kama vile nosebleed lakini badala ya damu yametoka maji hayana harufu Wala hakuna maumivu puani lakini kichwa ndio kinauma Sana upande wa kushoto hiyo Hali imetokea Mara tatu ndani ya masaa sita,ikabidi niende...