majimbo

Majimbo (the Swahili word for "regions") is a Swahili term that is commonly used in Kenya to refer to the idea of political devolution of power to the country's regions. It is alleged by critics, including former vice-president Oginga Odinga in his book Not Yet Uhuru, to have been coined by European settlers in Kenya's White Highlands region, around the time of independence in 1963, who preferred to retain an autonomous, ethnically-based governance over the region. It has also been alleged, by some of its critics, that majimbo is a pretext for the type of communal violence that has plagued Kenya's elections especially since the return of multiparty politics. In his autobiography Illusions of Power, G.G Kariuki, a long serving KANU Member of Parliament, goes as far as to allege the existence of a plot to instigate communal violence in Kenya's independence elections by supporters of a Majimbo system of government.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mgawanyo wa majimbo Tunduru

    Kumekuwa na mchakato wa ugawaji wa majimbo ya uchaguzi hasa ya ubunge kwa kuzingatia vigezo vilianishwa na serikali Kihoja kimejitokeza katika Halimashauri ya Tunduru ambayo ina wakazi takriban 400k, wabunge, madiwani na hata viongozi wa Halmashauri wameacha kutekeleza mchakato huo kwa kigezo...
  2. JanguKamaJangu

    Pre GE2025 Olengurumwa ataka mjadala wa Kitaifa kabla ya kugawa majimbo ya Kiuchaguzi

    Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, ameiomba Time Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kufanya mjadala wa Kitaifa na wadau mbalimbali wa demokrasia juu ya mchakato wa ugawaji wa Majimbo ya Kiuchaguzi kabla ya mgawanyo huo kufanyika...
  3. Mindyou

    Pre GE2025 Shinyanga: Madiwani wapitisha pendekezo la Jimbo la Solwa kugawanywa mara mbili

    Wakuu, Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, wamepokea, kujadili na kupitisha pendekezo la kugawa Jimbo la Solwa, kuwa na majimbo mawili ya uchaguzi ambayo ni Solwa na Itwangi. Wamepitisha pendekezo hilo jana, Machi 11, 2025 kwenye Mkutano Maalumu wa Baraza la Madiwani, kwa ajili ya...
  4. U

    Pre GE2025 Mara: Jimbo la uchaguzi Serengeti kugawanywa kuwa majimbo mawili, Serengeti Mashariki na Serengeti magharibi

    Wajumbe wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Mara (RCC) wamepitisha Jimbo la Uchaguzi la Serengeti kugawanywa na kupata majimbo mawili ya uchaguzi ambapo majina ya majimbo yanayopendekezwa ni Serengeti Mashariki na Serengeti Magharibi. Mkuu wa Mkoa wa Mara Evans Mtambi aliongoza kikao...
  5. B

    Pre GE2025 Kwa Mujibu wa Tundu Lissu, Majimbo Mapya hutengezwa kutoa fursa kwa watu fulani fulani nao wapate majimbo. Kama ni kweli basi tuna safari ndefu

    Tuko live kwenye mkutano wa Viongozi wa Chadema na Jukwaa la Wahiriri wa habari. Mambo yanayozungumzwa humo ni mazito sana. Tundu Lissu anasema kuna hali isiyo na usawa ktk kugawa majimbo sehemu mbali mbali nchini. Anatoa mifano kuwa Dar yenye wapiga kura zaidi ya milioni 3 ina majimbo...
  6. Crocodiletooth

    Pre GE2025 Majimbo ambayo yametosheka na maendeleo yanaweza kuchagua wapiga porojo!

    Wale wote ambao wametosheka na maendeleo ndani ya majimbo yao ya kiuchaguzi wanaweza kuchagua wapiga porojo wenye ubishi mkali, wapenda sifa za maongezi, wasioweza kufanya lolote ndani ya majimbo yao. Tunashuhudia siasa za jirani zetu Kenya, ambapo malumbano yanaendelea asubuhi mpaka jioni...
  7. Mzee wa Code

    CCM Kuzuia Watia Nia Mapema: Kuminya Demokrasia au Kuthibiti Nidhamu ya Chama?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeweka masharti yanayowazuia wanachama wake wanaotaka kugombea nafasi za uongozi kuanza kampeni mapema kwenye majimbo yao. Hatua hii imeibua mjadala mpana kuhusu mustakabali wa demokrasia ndani ya chama na haki ya msingi ya kugombea nafasi za uongozi. Kwa mujibu wa...
  8. S

    Tetesi: Majimbo karibu yote Kanda ya Ziwa kuchagua wabunge wa upinzani

    Kuna tetesi zinazoendelea chini kwa chini ndani ya Mikoa ya Kanda ya Ziwa kuwa uchaguzi wa mwaka huu wataamua kuchagua wawakilishi wabunge na madiwani kutoka vyama vya upinzania baada ya kubaini kuwa wabunge wengi wa CCM wanashindwa kuwatetea kwenye mambo ya msingi kwa kuhofia kutoteuliwa na CCM...
  9. Webabu

    Majimbo 19 ya Marekani yamshtaki Trump kumpatia Ellon Musk nyara za serikali

    Majimbo yameanza mchakatao wa kumshtaki raisi Trump kutokana na utitiri wa amri za kiraisi ambazo amezitoa tangu arudi madarakani. iiliyoyaudhi majimbo hayo ni uamuzi wake wa kumpatia bilionea na mshirika wake,Ellon Musk funguo za kufikia malipo ya wafanyakazi wote katika serikali ya Marekani...
  10. M

    Ukata wa fedha unavyochangia Wanawake kuyaogopa Majimbo

    Nimewahi kugombea mara moja tu ila kila nikifiria kurudi tena jimboni narudinyuma, kwani sina uwezo kifedha. Simulizi ya Fatma Shaaban Mohamed (51), mkaazi wa Kiuyu Minungwini Wilaya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, inatuonesha ukata wa fedha unavyomkatisha tamaa kuingia tena jimboni katika...
  11. W

    Kuna ukweli kukiwa na serikali ya majimbo ndio mwanzo wa kuigawa Tanzania kwa misingi ya ukabila na dini ?

    Mfano kwa hapa Tanzania kila mkoa uwe na serikali yake, Kuna ukweli huu mfumo unaweza kuleta ukabila au udini ?
  12. tang'ana

    Pre GE2025 Tuwataje Wabunge waliofanya vizuri kwenye majimbo yao 2020-2025

    Habari wakuu, Mwaka 2020-2025 ni sawa na hatukua na bunge hapa Tanzania. Lakini kwenye msafara wa mamba na kenge wapo,hivyo hivyo pamoja na bunge kuwa la hovyo lakini kuna Wabunge kadhaa wamejaribu kutekeleza majukumu yao huko Majimboni. Mimi wabunge wangu ninaoona walau wamepambana ni hawa...
  13. Rula ya Mafisadi

    Huyu Wenje mbona anazidi kumuharibia Mbowe, kama amechangia 250M Mkutano Mkuu wa Taifa nani amechangia mikutano mikuu 64,000 ya misingi nchi nzima?

    Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe, Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe. Naomba unijubu maswali haya, 1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe...
  14. Matulanya Mputa

    LGE2024 Nilipoambiwa ACT Wazalendo ni chama mamluki nimeamini na ile kauli ya Nchimbi kuwa kuna vyama wameshiriki kuanzisha

    Nimeshangazwa na chama cha ACT-WAZALENDO siku ya kesho wanaenda kuzindua ilani ya chama chao kwajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa uchaguzi upi? Kwa wagombea wepi? Katika jukwaa ili kuna mtu aliwahi kusema siasa ambazo wanafanya ACT-WAZALENDO ni siasa ambazo wanajiona kama wapo ndani ya...
  15. G

    Marekani kuna wizi wa kura, vitambulisho haviruhusiwi kupiga kura kwenye majimbo ya Democrats, Ni Majimbo pekee aliyoshindwa Trump.

    hadi Marekani wanaojinadi ni wakuu wa Demokrasia haya mambo yapo Majimbo mekundu alikoshinda Trump ID zinahitajika, Majimbo ya Blue alikoshinda Kamala ID hazihitajiki, kama zinahitajika zisiwe na picha NON PHOTO ID - Mpiga kura anahitaji nyaraka yoyote isiyo na picha kuthibitisha utambulisho...
  16. Eli Cohen

    Eti Beyonce anatishia kuto-perform katika majimbo yenye ngome kuu za Republicans

    Unajua hawa wasanii wanapokuwa celebrated na kuwa glorified inafika point wanajiona wao ni Mungu-mtu Sasa anadhani asipoenda kufanya show watakufa njaa?
  17. T

    Ni nini Siri ya wabunge wa upinzani haohao kudumu kwenye majimbo kwa miaka.?

    Tukianza na Sugu Lema Lisu Zito Mbowe na kama msigwa asingetoka na mdee kujichanganya basi walikuwa wanarudi vilevile. Nilitegemea kuona sura mpya baada ya miaka takribani 15 lakini hakuna dalili yoyote bado zitarudi sura hizohizo.
  18. Thabit Madai

    Pre GE2025 Kwanini Wanawake wanashindwa kuingia katika majimbo nabadala yake kubakia katika nafasi za Viti Maalumu?

    NA MARYAM HASSAN WAKATI umefika sasa Zanzibar kuondokana na dhana kuwa nafasi za wanawake viti maalum kuwa ni za watu aina fulani pekee na badala yake lazima uwepo ukomo wa kuondosha suala hilo. Tumeshuhudia kwamba wapo baadhi ya wanawake wameshikilia nafasi hizo enzi na enzi hali ambayo...
  19. Mkalukungone mwamba

    Dodoma: RC Senyamule amempokea rasmi, Mkandarasi wa kusambaza Umeme kwenye vitongoji 150 vya majimbo kumi (10)

    Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, leo tarehe 18 Oktoba, 2024 amempokea rasmi, Mkandarasi Kampuni ya DERM Group (T) Ltd; Kampuni ya ndani, iliyoshinda kandarasi ya Mradi wa Kusambaza Umeme kwenye vitongoji 150 vya majimbo kumi (10) ya mkoa wa Dodoma, Mradi unaotarajiwa kutekelezwa...
  20. C

    Hivi kipaumbele cha Viongozi ni kuwapeleka wasanii kwenye majimbo Yao?

    Napenda kusema hiki kizazi cha Sasa kinazaraulika sana,yaani wananchi badala ya kuwezeshwa au kuonyeshwa maendeleo wamekuwa wakipelekewa wasanii,hivi hii inaingia akilini kweli?
Back
Top Bottom