Mpaka pale Board ya mikopo itakapo chapisha majina ya hao wadaiwa sugu na mwaka waliomaliza na chuo walichosoma na digrii walizosoma, ndo tutaamini hawakua mafisadi
Kuna taarifa kuwa walikuwa wakitoa mikopo hewa kwa wakopaji hewa zikiingia mifukoni mwao
Waweke list ya hayo majina na kiasi...
Salaam wana jamvi
Kesho ndiyo siku inayotarajiwa board kutoa awamu ya pili
Samahani wakuu kwa wale waliopata awamu ya kwanza account zenu zilianza kubadilika siku hiyo hiyo walipotangaza?
Maana naona ujumbe ni ule ule WAIT FOR ALLOCATION PROCESS
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.