Siku zote CHADEMA na vyama vingine vya upinzani, vimekuwa vikilalamikia mambo ya hovyo ya kukata majina ya wagombea wa upinzani wanaoonekana kuwa tishio dhidi ya wagombea wa CCM kwenye chaguzi mbalimbali.
Hayo yamefanyika sana hata kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka jana, na CHADEMA...
Mkoani Njombe, na hasa wilayani Ludewa, uchaguzi umevurugika kwa kiwango cha kutisha.
Awali, katibu wa CHADEMA mkoani Njombe, alieleza kuwa wilaya ya Ludewa ilikuwa ya pili kitaifa kwa idadi kubwa kuenguliwa wagombea wa CHADEMA, ambapo kati ya wagombea 198 wa vitongoji, walienguliwa wote, kati...
Baada ya majina ya wagombea kutolewa jana na kubandikwa hali ya sintofahamu imeendelea kujitokeza km ilivyo kwenye maeneo mengi nchini.
Mkoani Singida kata ya Utemini ambayo inasimamia mitaa mitatu ya Sabasaba, Utemini na Stesheni wagombea waliobandikwa ni wa CCM tu.
1.Mtaa wa Sabasaba hakuna...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka.
Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika"
Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo...
Wakuu,
Naona tunarudi 2019 ki style, chupa imebadilishwa tu design lakini kamnyweso ni kalekale.
====
CHADEMA Wilaya ya Dodoma Mjini kimedai kubaini taarifa za wagombea wake kuenguliwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kupitia mbinu za kuwatafutia kasoro mbalimbali.
Miongoni mwa mbinu...
Wakati wa Uchaguzi baadhi ya Watu huibuka na kutengeneza akaunti 'feki' na kuzipa majina ya Wagombea au kubadili jina la akaunti zao na kutumia jina la mgombea fulani.
Akaunti hizo hutumika kutengeneza taarifa au maudhui mbalimbali yanayomuhusu Mgombea wa Uchaguzi, hutumika kupotosha taarifa...
Makao Makuu ya CCM - DODOMA,
Tunaomba mfuatilie suala hili kwa sababu linawaumiza wagombea wengi sana katika mkoa wa Ruvuma katika uchaguzi unaofanyika wa CCM.
Mfano wa wazi:
Kuna idadi ya watu waliojitokeza kugombea nafasi ya mwenyekiti wa ccm mkoa wa ruvuma na miongoni mwao yupo anayemaliza...
Chama cha mapinduzi ngazi ya wilaya , wilaya ya Hai huko Kilimanjaro kimeanza zoezi la hila la kuwatambua viongozi watakao chaguliwa kuanzia ngapi ya Shina hadi ngazi ya kata Mia ikiwa kuvuruga uchaguzi mkuu wa chama hicho.
Zoezi hilo linaonyesha linaratibiwa na mbunge wa Jimbo kwa...
Kila Chama chenye Uwakilishi Bungeni kinachokusudia kushiriki, kinashauriwa kuanza mchakato wa kumpata Mgombea miongoni mwa Wabunge wake
Jina la Mgombea linapaswa kuwasilishwa kwa Msimamizi wa Uchaguzi kabla ya Saa 10:00 Jioni, Februari 10
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.