majini

  1. W

    Mashine moja inaweza kutoa kila aina ya malisho ya majini

    1 Teknolojia bora ya kudhibiti saizi ya chembe ya kulisha Matokeo mengi ya utafiti nyumbani na nje ya nchi yanaonyesha kuwa wanyama wa uzao maalum na hatua maalum ya kulisha wana saizi bora ya chembe ya kusagwa kwa bidhaa zilizo na fomula maalum ya kulisha, na saizi hii ya chembe ya kusagwa ni...
  2. Je, bangi inaweza kufukuza majini?

    Poleni na majukumu wana JF, moja kwa moja kwenye hoja. Tunajua bangi (marijuana)ni mmea kama mimea mingine ambao unatokana na mbegu inayoitwa (cannabis) lakini ikitumika vibaya inaweza kukupa madhara, hasa ya kisaikolojia Kumekuwa na imani ya kwamba viumbe visivyoonekana kama majini vinaogopa...
  3. Watanzania twendeni Congo tukawekeze Sekta ya Usafiri wa majini na mafuta

    Kila msaka fursa angalia hii clip uone mwenyewe fursa zilipo za biashara ya usafiri wa majini na mafuta Congo. Hizo baadhi tu lakini ukitizama hii Clip waweza gundua nyingi zaidi.
  4. Serikali kuweka sheria ya kuwabana wasiovaa maboya kwenye Vyombo vya Majini

    Sheria kubana wasiovaa maboya yaja. SERIKALI iko mbioni kutunga sheria itakayowaadhibu watu watakaopanda vyombo vya majini hususani mitumbwi bila kuvaa boya wakiwa baharini au ziwa lolote nchini. Akizungumza wakati akitoa elimu kwa wananchi mkoani hapa katika Mwalo wa Ujaluoni, Lunazi, Kata ya...
  5. Mamlaka za vyombo vya majini Zanzibar na Bara, msipochukua tahadhari Watanzania watalia hapo mbele

    Leo tarehe 20.12.2020 muda huu naandika nikiwa katika chombo cha Zan Fast Ferry (Zanzibar 2) tulitaraji kuondoka majira ya saa 10.15 jioni kwa mujibu wa ticket zetu ila katika hali isiyotarajiwa tumeondoka saa 10.55 jioni baada ya kupigwa na joto kali hatqri huku watoto wakipiga kelele kwa...
  6. Kwa wadau wa vyombo vya majini, boti ndogo na Jet Ski Kwa ajili ya uvuvi,utalii na michezo

    Uzi huu ni Kwa ajili ya wadau wa vyombo vya majini Kwa ajili ya shughuli za uvuvi,utalii na michezo. Mnakaribiahwa Kwa ajili ya namna ya kufanya usajili,Sheria za vyombo vya majini, marekebisho, utunzaji, sehemu za kununua vipuri, changamoto za utumiaji vyombo, sehemu za kuunda boti na kununua...
  7. Vitu vya kufurahisha kuusu kobe wa majini (kasa)

    Hivi ndivyo mdomo wake ulivyo kwa ndani Picha na buzzfeed Watu wengi wamekua wakijiuliza sana kuusu mdomo wake unavyotisha Ukiingia kwenye account ya ig kwa brykim official kwa kutumia biology na illustrator ameelezea vyema kuusiana na mdomo wa kasa Izo miba za mdomo kwa kasa humsaidi...
  8. Meli mpya kwa ajili ya Ukerewe yakamilika kama ilani ya CCM ilivyotaka, imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Octoba 2020

    CCM Kwenye ilani iliahidi kujenga meli mpya baada ya ile ya MV NYERERE kupata ajali. Leo imekamilika kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020 ina uwezo wa kubeba abiria 300. Tatizo la usafiri Ukerewe kuwa historia. Kama ilani ya...
  9. J

    Waziri Mkuu amemtaka Shehe Majini kutokata tamaa

    Waziri Mkuu amemtaka Shehe Majini kutokata tamaa kwani kura za maoni ni mchakato tu lakini maamuzi " yenyewe" yanafanyika huko juu. Mh Majaliwa amesema subra ni jambo muhimu na Shehe Majini aliyegombea ubunge jimbo la Handeni kwa tiketi ya CCM anapaswa kuwa na subra. Chanzo: TBC My take; Hata...
  10. F

    Shehe Shariff Majini kulalamika kaibiwa kura Tanga, je majini yake hayamlindi?

    Habari wadau. Mtia nia maarufu kama shehe sharif majini analalamika uchaguzi wa kura za maoni jimboni kwake haukuwa wa haki.. na ameshindwa kwa mbinu chafu. Swali nalojiuliza. je majini hayana msaada ya kumlinda mtu wao asiibiwe kura? Je, kina sisi tunaopeleka shida zetu kutatuliwa kwa nguvu...
  11. B

    Nahitaji msaada wa kuondoa uchawi na majini

    Wadau, if you didn't believe uchawi is real, I've been a victim. What I've seen, and has been done to me by malicious people would anger any sane person. The good thing is that I got to realize who actually intended to hurt and destroy me. The problem ni how to replicate kitu nilifanyiwa. I'm...
  12. J

    Uchaguzi 2020 Sheikh Sharif Majini achukua fomu za Ubunge Handeni vijijini kupitia CCM

    Mgombea Ubunge jimbo la Handeni vijijini Hussein Msopa maarufu kama Sheikh Sharif Majini ni mmoja wa wagombea walionitokeza leo na amefika ofisi za CCM wilaya ya Handeni kwa ajili ya kusalimia na baadae kuelekea ofisi ndogo ya CCM Mkata kuchukua fomu ya kugombea Ubunge. Bungeni patanoga huku...
  13. Uingereza: Waandamanaji waitupa majini sanamu ya aliyekuwa mfanyabiashara wa watumwa

    Video ikionyesha waandamaji wakiangusha sanamu ambayo imedumu toka karne ya 18. Sanamu ya Edward Colston katika sehemu ambayo inajulika The centre, Bristol. Wakiwa wanaitupa Bristol harbour. Sanamu ya aliyekuwa mfanyabisha maarufu ya utumwa katika karne ya 17 imeangushwa na kutupwa...
  14. MKASA WA KWELI: Ni bora ubaki na umaskini kuliko utajiri wa pesa za "ndagu" au majini

    JamiiForums ni zaidi ya habari, nami nimeona niweke hapa kisa ambacho kinaweza kuwa funzo/somo kwa vijana wengi watafutaji hasa wanaopenda shortcut. Mtanisamehe kwa uandishi wangu mbovu na mpangilio wa visa. Mwaka huu mwanzoni nilikuwa mkoani Arusha kwa jamaa yangu mmoja tuliyetoka nae Kijiji...
  15. Jeshi la Iran wameonya US baada ya kupokea vifaa vya mapambano vya majini zaidi ya 100

    "Tunatangaza leo kwamba popote Wamarekani walipo, tuko karibu nao, na watahisi uwepo wetu hata zaidi katika siku za usoni" yalikuwa ni maneno ya mkuu wa walinzi wa maji wa Iran bw Alireza Tangsiri katika sherehe huko kusini mwa Iran. Pia alieleza kwa msisitizo kuwa "Iran hatamwabudu adui...
  16. Indonesia: Samaki aliruka kutoka majini kumchoma kijana shingoni

    Muhammad Idul ameelezea vile samaki aina ya Ngarara alivyoruka kutoka majini na kumdunga kwenye shingo yake, na kulazimika kuogelea kwa hara kuelekea ufuoni kabla ya kukimbizwa hospitalini dakika 90 kwa gari. Kijana huyo wa miaka 16 kuwa hai, na kuweza kusimulia yaliyompata imekuwa kama miujiza...
  17. Nini tofauti kati ya Maruhani, Mapepo, Mashetani na Majini?

    Salaam wakuu poleni na harakati, Ni mda kiasi sikuwa hapa jukwaani kutokana na kazi za hapa na pale ila namshukuru Mungu nimerudi salama huko nilikokuwa, kwanza niwape poleni kwa misukosuko ya hapa na pale pamoja na Paschal Mayalla member mwenzetu sijui anaendeleaje mpaka sasa maana mara ya...
  18. Majini mahaba yananinyima raha, nifanyeje?

    Habari zenu jamani, Mimi ni kijana miaka 25 sijaoa ila nina mpenzi ambaye sijawahi fanya nae mapenzi kwasababu anamajini mahaba wawili kichwani kwake mmoja wa kiume na mwingine wa kike, mwezi hauishi bila kupandisha hayo mashetani yake. Pia majini mahaba hayo hayataki nizini na mpenzi wangu...
  19. Njia Rahsi za Kumwita Jini Mpole na Kumuamrisha unayoyataka na atakufanyia.

    LEO nawafundisha njia fupi ya kumwita JINI mpole Kisha mwambie haja zako. nunua aina ya taa Za chemli mbili weka utambi wa Sanda iwe kama tambi kila chemli weka mafuta ya taa kipimo cha vikombe vya kahawa kila chemli weka vikombe saba saba Kisha ktk kila tundu LA chemli weke mchanga wa...
  20. Kwa wale wenye "MAJINI" vichwani au pembeni yao

    Majini ni viumbe ambao wameumbwa kwa Moto na walikuwa wakiishi duniani kabla ya binadamu miaka Milioni nyingi iliyopita. Viumbe hawa wana tabia kuu mbili; Yaani ya kibinadamu kwa maana wanakuwa wanafanya mapenzi, wanazaa na wanakufa. Tabia nyingine ni ya Kimalaika ambayo ni kwamba wana uwezo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…