majizzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Majizzo ataja Playlist ya nyimbo zake bora mwaka 2024, Komasava namba moja Bongo

    Mmiliki na Mkurugenzi wa EFM na TVE Francis "Majizzo" Ciza ametaja Playlist ya ngoma zake 20 bora kwa mwaka 2024 na ameiweka Komasava ya Diamond namba moja na katika orodha hiyo Marioo ndio jina la msanii lililotokea mara nyingi zaidi. Soma, Pia: Diamond Platnumz namba moja kwa kutazamwa...
  2. Teknolojia ni Yetu sote

    Majizzo kiboko kaja na speaker zake Kali

    𝗠𝗮𝗷𝗶𝘇𝗼 𝗸𝗮𝗷𝗮 𝗻𝗮 𝘀𝗽𝗲𝗮𝗸𝗲𝗿 𝘇𝗮𝗸𝗲 Hatimaye mkurugenzi na muanzilishi wa media Efm na ETV nchini tanzania mfanyabiashara Majizzo amefanikiwa kupiga hatua kwa kuweza kuleta speaker zake nzuri 🔊. Majizzo ameamua kuleta speaker izo ambazo zenye kutumia teknolojia ya Bluetooth kuweza kukupatia...
  3. Mjanja M1

    Majizzo awashukia Machawa nchini

    Mmiliki wa Efm Francis Ciza almaarufu "Majizzo", amewashukia Machawa wanaoishi kwa kutegemea kuwasifia watu wenye pesa mjini. Kupitia mtandao wake Majizzo ameandika "Hapana, usiwe proud kuitwa ‘Chawa’. Labda kama kuna maana nyingine, lakini hii ya kwamba wewe ni mtu tegemezi na anayekula kwa...
  4. Arnold Kalikawe

    Majizo alikuwa fundi cherehani wa nguo za wagosi wa kaya

    DJ Majay a.k.a Majizo siku hizi ni baron wa tasnia. Utambulisho wake haukomei tena Kwa Fujo DJs Member, E-Masterz CEO, Maisha Club Operator, Media Leader, bali sasa ni Media Magnate. Majay ndiye owner wa EFM Radio na ETV. He’s mogul nowadays, au sio? Basi, hiyo ndio tafsiri ya “the hustle is...
  5. Kichwamoto

    Rubby katembelea Nyota ya Majizzo kutoa Audio iitwayo "Uridhike" Leo 16-08-2023

    Wanamuziki wabongo ni wadhaifu sana kwenye ubunifu, wanapenda slope na music spinning. Personally wengi hawana public triggers za kupata popularity za trending kwenye song releases zao. Kiwimbo chenyewe cha Uridhike hakina vibe kali la hisia za kuchimba visima na matembele kwa ndizi tukufu...
  6. Mhaya

    Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

    Msanii Ruby ambae siku ya Leo ameenda live Instagram ameonesha kuchukizwa na kutoa ya moyoni dhidi ya Boss wa EFM na ETV anayefahamika kama Fransic Siza a.k.a Majizzo au Majay. Msanii huyo wa kizazi kipya ametoa kauli ya kutakwa kimapenzi na Boss huyo ambae kwa sasa ameoa mke "Elizabeth...
Back
Top Bottom