majukumu ya makamu wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyani Ngabu

    Hivi, ina maana sasa hivi Makamu wa Rais Dkt. Mpango hahusiki kabisa na chochote kifanywacho na Serikali?

    Hilo ni swali ninaloliuliza kwa nia njema kabisa. Ni swali ambalo limekuwa likinijia kichwani mwangu baada ya Rais Samia kuwa Rais. Nimeona na nimesikia sana kuwa Sasa Rais Samia “ is returning to the authoritarian practices of John Magufuli.” Hivi, kama Rais akiwa dikteta, wewe makamu wake...
Back
Top Bottom