Ndugu zangu Watanzania,
Nimefurahi sana kuona Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri wa Fedha akijitokeza hapa jukwaani kuja kutoa ufafanuzi wa hoja ambayo ilikuwa inagusa wizara yake.Nampongeza sana kwa ujasiri na uthubutu wa hatua hiyo. kwa kuwa hatua hiyo inasaidia kuondoa uzushi ...