VIONGOZI WENYE KUTISHA WATU MAJUKWAANI HAWAMALIZAGI ROUND KWA SABABU WANA AKILI NDOGO ZA KUTAWALA. SIMBA MWENDAPOLE NDIYE MLA NYAMA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Najua ipo siku utajikuta ni mtawala au kiongozi. Ikiwa itatokea hivyo basi nisikilize Mimi Mtibeli alafu utakuja kunishukuru...
Salaàm!
* Habari ya kuwa Abdul alimfuata ili ampe rushwa ni maneno yake mwenyewe. JIULIZE Why mwanasheria nguli afuatwe ili apewe rushwa afu asishitaki kwenye vyombo vya dola.
* Kutoa, kushawishi ni jinai - sasa iweje ashawishiwe afu asitoe taarifa kwenye mamlaka za kidola?
Uzanzibari vs...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Abdurahman Kinana amekemea tabia ya viongozi na makada wa CCM kuwadhalilisha watendaji wa Serikali kwenye majukwaa ya kisiasa.
Pamoja na kukiri kuwa chama tawala kinaisimamia Serikali na kuishauri, Kinana amesema si vyema viongozi na makada wa chama tawala...
Kwa wale ambao mmebahatika kupata watoto na mkatumia hospitali za serikali nadhani mnaelewa ninachoongea, kama kuna mtu hakuchangia hata senti basi aje hapa kunipinga.
Hizi kelele za eti huduma za uzazi ni fix tu za wanasiasa huko majukwaani, ila ukifika labor ndiyo utajua hujui.
Kuna mambo...
Katika hotuba yake leo, miongoni mwao mambo aliyoyasema rais ni kuwa kuna watu wametumia mikutano ya kisiasa kuchambua dini za wengine, jambo ambalo lilimkera sana rais.
Je, ni kweli hilo limefanyika na wapi, na nani, lini. Kama sio kweli basi wanasaikolojia wamsaidie na watusaidie. Huenda uzi...
Tofauti ya Chadema na vyama vingine vya kisiasa ni hii , Yaani huku Chadema mtu yeyote mwanachama akipewa kibali na chama chake anaweza kuitisha Mkutano wa hadhara na akajaza Umati.
Kwa mfano, Mimi Erythrocyte naweza kutangaza usiku huu kwamba nitafanya Mkutano wa hadhara Kyela kesho , labda...
Hakuna mahali salama kwa mjukuu wa chini ya miaka miwili kulinganisha na kifuani kwa babu yake anapolala baada ya kuzidiwa na usingizi unaotokana na utamu wa hadithi ndefu. Huwa wajukuu wanasinzia upesi mno na mara nyingi hadithi haifiki hata nusu ya urefu wake, wao wakiwa wameshasinzia.
Mtoto...
Inawezekana kabisa kwamba magufuli alikuwa na madhaifu yake, na inaweza isiwe dhambi kumsema vibaya. Ila kwa watu wenye malengo ya kutafuta kura Kwa wananchi wa kawaida walipaswa kupotezea kabisa habari za magufuli.
Kuna baadhi ya mambo ambayo hata Magufuli angekuwepo naamini asingebadili...
Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu.
Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu.
Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawadhibiti Chadema...
Wananchi wengi bado wako usingizini na ni wazito sana kuwahoji viongozi.
Kama ilivyo vigumu kwa muumini wa dini kumnyooshea kidole kiongozi wake wa kiimani/kiroho anapofanya kinyume na anayohubiri imekuwa vigumu na sisi kuwawajibisha viongozi waishi wanayoyasema.
Leo viongozi wetu wako bize...
Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana amewataka UVCCM wajijengee uwezo wa kuongea Majukwaani
Hii itasaidia wananchi kuelewa ujumbe wanaopewa nyakati za kuielezea Ilani ya CCM na utekelezaji wake
Source TBC
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.