Habari wana jukwaa?
1.Unaamka asubuhi na stress unajiuliza leo itakuaje tena nini kitatokea huko?
2.Kuna wale wanajua kujipendekeza kwa boss na kujifanya wanainformation zote jinsi shughuli za kiofisi zinavyokwenda(Machawa).
3. Kuna wale wana vijikundi vyao vya masengenyo, hao ukitoka tu...