majungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mashabiki wengi wa Simba wanaongoza kwa MAJUNGU na WIVU

    Sijui ni kwanini. Yaani hata iwe mitaani ukisikia familia imegombana ujue chanzo ni jungu lililotengenezwa na jirani shabiki wa Simba. Iwe ni kazini/ofisini ukiona ghafla Boss anakuchukia ujue tayari kuna Kolo katengeneza jungu. Jamaa huwa hawapendi kuona mwingine akistawi. Na ndio maana...
  2. Pre GE2025 Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

    Wakuu, Siku ya leo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa ananguruma wakati anazungumza na vyombo vya habari Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea kwenye mkutano huo. Katika mkutano huo uliofanyika Mlimani City, Tundu Lissu amedokeza kuwa anagombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA...
  3. M

    Matajiri wana mfumo wa kuvuta hela na maskini wana mfumo wa kuvuta majungu

    MATAJIRI WANA MFUMO WA KUVUTA HELA NA MASKINI WANA MFUMO WA KUVUTA MAJUNGU. Maskini anajua wapi apate umbea wa moto yaani kama unataka umbea kwake utaupata ila tajiri anajua wapi kuna mchongo wa pesa yaani anajua nani amtafute apate mchongo wa pesa. Hapa nazungumzia maskini wa asili na...
  4. Makonda: Sitaki kumuona Diwani masikini, Tafuteni Hela acheni majungu

    Ujumbe wa Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda kwa Madiwani wa Mkoa wa Arusha. "Huwa na waambia viongozi wangu wa hapa, sitaki diwani masikini’ hatutaki diwani masikini tafuteni hela hata tukija kuwagongea kuomba nauli ya kwenda hospitali Mount Meru muwe na hela za kutupa, huwezi kutoa kitu...
  5. S

    Uzushi, majungu na uongo, havina nafasi katika soka, soka ni sayansi, uwekezaji na mipango. Alie bora ataonekana tu na swala la muda

    Huu ndio ujumbe wangu kwa hawa waliowekeza kwenye majungu, uongo na uzushi wakiamini watafanikiwa kuwaaungusha miamba wa soka la Bongo kwa sasa(Dar Young African). Wajiulize tu maneno haya katika misimu iliopita yaliwasaidia nini na Yanga ilikwamisha kwa haya? 1.Yanga anacheza kombe jepesi la...
  6. L

    Paul Makonda: Watu wanaendekeza Uchawi na Majungu

    Ndugu zangu Watanzania, Maneno hayo yamesemwa na Mwamba wa kaskazini Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.siku ya jana ya jumapili pale alipopewa nafasi ya kuzungumza na kusalimu katika kanisa la kiinjili la Kilutheli Tanzania Dayosisi ya kaskazini kati.katika...
  7. M

    Matajiri hualikana kwenye fursa ila maskini hualikana kwenye majungu 😔

    MASKINI ATABAKI KUWA MASKINI TU KAMA ATAENDELEA KUWA NA MARAFIKI MASKINI 😔 Hii sio makala nzuri kwa maskini ambao wameridhika na hali hiyo hivyo kama umeridhika na umaskini basi acha kabisa kusoma ila kama upo kwenye vita ya kujikwamua kama mimi basi inawezekana ikawa makala yenye mwanzo mpya...
  8. Simba SC 'mmerogwa' na nani tena? Rweymamu wa nini tena kama Meneja wakati mnajua akikaa na Rafiki yake mkubwa Matola wanaleta Majungu sana?

    Klabu ya Simba imemrejesha kikosini Patrick Rweyemamu kuendelea na majukumu yake ya kuwa meneja wa timu hiyo. Rweyemamu amerejeshwa katika majukumu hayo baada ya msimu uliopita kuondolewa kwenye nafasi hiyo na kuwa Mkuu wa Programu za Soka la Vijana klabuni hapo. Kurejea kwake anachukua nafasi...
  9. Kagasheki: Mtindo wa Makonda kuwapa tumbo joto Mawaziri haufai. Dunia nzima kuna utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi

    Ameandika Khamis Kagasheki "Duniani kote, Serikali ni kioo cha nchi. Katika nchi za Kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta Dola na kuunda Serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto Mawaziri na Waziri Mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali ina madhara.”...
  10. Wameshakuja na wamejikoki vizuri, wakifungwa 3 kwa 1 hatutaki waje na ulalamishi wala majungu

    Yaani GENTAMYCINE na yule mtu mmoja wa BAKWATA tukiingie Msituni kuipambania Timu nje ya Uwanja halafu Mwarabu atoke bila Kipigo/Kichapo? Sikumbuki ni lini GENTAMYCINE nimeshirikishwa katika Umafia wa Nje ya Uwanja (Utamaduni na Fitna) na nikashirikiana vyema na wahusika na wakakisikia...
  11. Majungu na kukwamishana Buboka Mjini vyamliza Mbunge Byabato. Apiga magoti na kutoa machozi mbele ya wanabukoba

    Mbunge wa Bukoba wa Mjini na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa anaongea na wakazi wa jimbo wakati akikabidhi mkataba wa ujenzi wa Standi Kuu ya Mabasi hilo amelalamikia majungu yanayoendelea Bukoba Mjini ambayo yanakwamisha maendeleo ya manispaa hiyo kwa...
  12. S

    Kwa teuzi za kichawa na tenguzi za majungu kama hizi, tusahau kuhusu maendeleo

    Nitatumia utenguzi na uteuzi wa huyu DC kama mfano ktk uzi wangu. Huyu alikuwa DC wa Temeke, akatenguliwa 02 June 2023. Na leo 23 Septemba 2023 ameteuliwa tena kuwa DC wa Mtwara. Ndiyo kusema mwanamama huyu alipoteza sifa ya kuwa DC mpk kufikia hatua ya kutenguliwa 02/06/2023 lkn siku 90...
  13. Nimechoshwa na maisha ya majuu kutokana na majungu ya Wabongo

    Aisee hamna watu wenye visirani, majungu, chuki na unafiki kama wabongo aisee nimekoma wakuu sio kwa msoto huu ambao wabongi wamenifanyia yaani sio poa kabisa yaani bila hawa white wabongo ambao nimetoka nao nchi moja wangenifanyia ilikuwa too much. Yaani kutokana na blessing na mafanikio...
  14. S

    Wacheni Siasa za Majungu- Ngorongoro crater ndio bustani ya Aden

    Wamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater. Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu ya Congo ,hii Tanganyika ilikuwa pori tupu ,msikae na kuwadanganya wasiojua historia ya nchi hii na...
  15. Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

    Yaani wabongo ni watu wa ajabu sana, yaani wao wamekalia majungu, chuki, unafiki na ukora tu. Yaani wao wakiona mwenzao amewazidi kwa chochote kile wanaanza kukupiga majungu, nasema hii tabia inakera. Ndio maana mie huwa napenda kujitenga na wabongo, aisee yaani ni watu ambao wamekalia majungu...
  16. M

    Dylan Kerr, kocha wa Marumo Gallants, aliwahi kuifundisha Simba FC akaondolewa kwa majungu ya waganga njaa. Leo hii ni mmoja wa makocha bora Afrika

    Mwaka 2015 mpaka 2016 alitokea Gor Mahia ya Kenya kuja kuifundisha Simba Fc. Majungu yakaletwa na na wanazi wa Simba. Akafukuzwa lakini leo hii anamafanikio makubwa tu huko Limpopo.
  17. Ukiwa Malawi Washirika wako na Chama kipya mnaendeleza Mipango na Majungu yenu, sasa nenda Cuba ukasahaulike mazima

    Nauli ya kuja Blantyre au Lilongwe nchini Malawi hata Masikini GENTAMYCINE anaweza Kujichanganya na akaja kisha tuendeleze Mipango yetu na Majungu ya 2025 na ile Kabambe ya 2030. Sasa nakutupa Jijini Havana nchini Cuba ( ambako ni mbali Kijiografia ) ili tuone kama Wanafiki Wenzako wa Chama Cha...
  18. Tupendane humu tuache majungu

    Tupendane wadau wa humu tuache majungu. Maisha haya ni mafupi tupeane faraja na kushauriana mambo yakujenga sio kubomoa . Unaweza kuwatag watu Fulani ila ukiwa nashida wao wanakuacha Matani wachache ulio watag ndio wanakusaidia hii sio fresh tusiishi kiunafiki tupendane ,tusaidiane ...
  19. M

    Majizo na EFM Radio yako huu Utangazaji wa Kinafiki na Majungu wa Watangazaji Maulid Kitenge na Twalib Muwa utaiponza Radio yako

    Haiwezekani Watangazaji wako hawa Maulid Kitenge na Twalib Muwa ambao si tu ni Mashabiki wa Yanga SC bali pia ni Wanachama wa Yanga SC kila wakiwa pamoja Hewani katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM Kazi yao ni Kuisakama Simba SC, Kuinanga, Kuidhalilisha na Kuichokonoa ili mradi tu...
  20. Kwenye mashirika kuna uzandiki,unafiki na majungu ya kufa mtu

    Kwenye mashirika haya wakuu kuna unafiki,majungu na uzandiki nimechoka aisee na watu wanaongoza kwenye majungu ni wale wenzetu wa ukerewe yaani sio poa kabisa sema tu mimi ni blessed man ukinipiga majungu ndiyo kwanza nazidi kusifiwa na kila mtu yaani imefikia hatua naomba watu wanipige majungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…