Natumai hamjambo wakuu.
Wakuu, misiba ya sasa imekua majanga sana, yaani badala ya watu kwenda msibani kusitiri na kuwafariji wafiwa badala yake misiba imegeuka vijiwe vya majungu na kuwajadili wafiwa A-Z
Sasa mi najiuliza kuna manufaa gani kuwajadili wafiwa tena in negative way? Zamani...