Ileje, 08 Januari 2025 - Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda, amefanya ziara muhimu katika Kiwanda cha Makaa ya Mawe Stamico pamoja na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya London-Kiwila yenye urefu wa kilomita 5, iliyopo katika Wilaya ya Ileje.
Barabara hiyo ni kiungo...
Mlipuko umetokea kwenye mgodi wa makaa ya mawe mjini Tabas,500km toka tehran,watu 30 wameuawa na 17 kujeruhiwa, wengine wakiaminika kunasa ndani ya mgodi
Huyu kocha hata mm nilimshangaa ana utoto kwanini alishinda 3 0 akawatoa watoto hao wawili. Akabanangwa 3 3 shukran kwa var iliyokataa hlgoli la 4 la adui. Jamaa anaaminika kumpa nafasi Antony ili ajisafishe kwa gharama kubwa aliyomnunua.... timu ingebaki 3 0 au ushindi wowote sifa kwa...
Wakazi wa Halmashauri ya Songea Vijijini wametakiwa kuchangamkia fursa ya uwekezaji wa makaa ya mawe ambayo inatarajia kuleta tija kwa watanzania kutokana na uhitaji mkubwa wa madini hayo ndani na nje ya Nchi.
Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Matimila B na Liula...
Serikali imeyataka Makampuni ya Wawekezaji Wazawa ambao wamesaini mikataba ya uchimbaji wa makaa ya mawe Mchuchuma kufanya biashara kwa uadilifu, weledi kwa juhudi ili kifikia malengo yanayo kusudiwa, kuongeza ajira na pato la Taifa hususani dola za Marekani.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Viwanda...
Habari wakuu, naombeni msaada na ushauri juu ya biashara ya kusafirisha makaa ya mawe.
Nataka kununua gari ili nianze usafirishaji wa makaa ya mawe.
Natanguliza shukrani kwa wote watakao changia mada hii.
Kuna tangazo humu niliona kuna kampuni wanauza site za migodi mbalimbali ya graphite na makaa ya mawe ila nimejaribu kusearch thread sijaipata.
Well Nina offer hiyo kwa anayemiliki mgodi wa makaa ya mawe na kuna geology report hebu tuwasiliane tufanye biashara.
Karibuni.
WAZIRI wa Madini Dkt Dotto Biteko ametoa miezi mitatu kwa Tume ya Madini kufanya uchambuzi wa kina na kubaini waliohodhi maeneo makubwa ya uchimbaji wa makaa ya mawe bila kuyaendeleza wafutiwe vibali na kupatiwa kwa wawekezaji wengine.
Biteko ametoa maagizo hayo leo wakati akifungua mkutano...
Amkeni kumekucha hukooo.
Putin kawarudisha wajerumani enzi za UJIMA 😅😅😅😅😅
Mshtueni J. Makamba kwamba tumepata soko la uhakika la kuuza makaa ya mawe
Germany has taken a "bitter" decision to fire up idle coal power plants to reduce its reliance on Russian natural gas, as Vladimir Putin...
Salaam Wakuu,
Imedaiwa Eti, Tanzania kupitia Stamico tumesaini mkataba wa kuuza Madini ya Makaa ya Mawe kwa dola 29.5 ambayo ni sawa na Shilingi 69,444 (Elfu sitini na tisa na Mia nne arobaini na nne tu) kwa Tani moja!
Bei ya Soko la Makaa ya Mawe kwenye Market Insider ni dola 315 sawa na...
Ikoje hii kiafya? Kwanza una harufu kali sana..ni kujiongeza baada ya gharama za gesi kupanda au tuiteje?
Ningependa kujua kama ni sawa au sio sahihi kwa matumizi ya nyumbani.
Tanzania kupitia Stamico tumesaini mkataba wa kuuza Madini ya Makaa ya Mawe kwa dola 29.5 ambayo ni sawa na Shilingi 69,444 (Elfu sitini na tisa na Mia nne arobaini na nne tu) kwa Tani moja!
Bei ya Soko la Makaa ya Mawe kwenye Market Insider ni dola 315 sawa na shilingi za Kitanzania 740,250...
Mijini wanasema kusoma hujui, hata kuangalia picha nako?
Nini kilichojificha kwani? Watu wanataka katiba mpya. TWAWEZA 2017 hawa hapa:
TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba Mpya
Msimamo wa CUF, NCCR na CHADEMA unajulikana. Katiba mpya ni sasa.
Kwa msimamo huu:
Ndani ya...
Tanzania na Watanzania wenzangu mmeshuhudia kwa macho yenu kwamba vitu vimepanda Bei Mara dufu hasa vinavyotoka China na ulaya, hali ya maisha imekuwa mbaya Sana, uchumi wa dunia umetetereka.
Tanzania tutegemee maisha kuwa makali zaidi, nchini China kuna shida kubwa ya umeme iliyosabishwa na...
Kipindi cha JK kulikuwa na pilika pilika kuhusu huu mradi. NSSF walikuwa bize sana ili waukamilishe.
Kwa enzi hizo, 600 MW ilikua kama nusu ya umeme wote tuliokuwa tunazalisha.
Ikumbukwe kuwa umeme wa makaa bado unatumika sana duniani. Karibu asilimia 40 ya umeme duniani unatikana na makaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.