Wakamba ni kabila la watu wa Kenya wanaoishi Ukambani, eneo lililopo kati ya Nairobi, Voi, Mlima Kenya, na Mlima Kilimanjaro. Wakamba ni kabila la nne kwa ukubwa nchini Kenya.
Lugha na Utamaduni
Wakamba hutumia lugha ya Kikamba, mojawapo ya lugha za Kibantu ambazo zina uhusiano wa karibu na...