Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi ametembelea na kujionea eneo linalotarajiwa kujengwa kitega uchumi kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo (wamachinga) ambapo zaidi ya Sh. Bilioni 9 kukamilisha azma hiyo ya Serikali.
Waziri Ndejembi amesema hayo baada ya...