Kuna fursa nyingi makaburini nawapa wale wavivu wa kufikiri ziko za kuanzia kuchimba na kujenga makaburini, kuuza Sanda na majeneza, kukodisha mahema na viti na kuviweka makaburini, kukodisha spika na microphone, kuuza maji ya kunywa kwa waombolezaji, mashada ya maua, chakula, usafiri nk...