makaburini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC01 Matembezi Makaburini

    Nilifiliwa na tukaenda kuzika Makaburini. Baada ya Maziko nilijikuta nikipata hamu na kiu ya ajabu sana ya kutaka kutalii Makaburini.Basi nilianza mzunguko wangu taratibu huku nikisoma mawe ya makaburi yaliyoandikwa JINA,mwaka wa kuzaliwa na mwaka wa kufa.Makaburi mengine yalitiwa nakshi sana...
  2. JamiiForums Tanzania INASIKITISHA: Makaburi Kinondoni yanavunjwa makusudi ili ipatikane nafasi ya kuzikia

    Makaburi Kinondoni yamekuwa yakihujumiwa makusudi ili iweze kupatikana nafasi ya kuzika tena. Leo nilitembelea makaburi hayo asubuhi kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya ndugu yangu aliyelazwa kwenye makaburi hayo.
  3. JamiiForums Tanzania Fursa za ajira na biashara makaburini

    Kuna fursa nyingi makaburini nawapa wale wavivu wa kufikiri ziko za kuanzia kuchimba na kujenga makaburini, kuuza Sanda na majeneza, kukodisha mahema na viti na kuviweka makaburini, kukodisha spika na microphone, kuuza maji ya kunywa kwa waombolezaji, mashada ya maua, chakula, usafiri nk...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…