Mamlaka ya Uhifadhi na uendeshaji wa Mji Mkongwe Zanzibar kwa kushirikiana na taasisi nyingine za serikali zimekubaliana kuwaruhusu vijana wa wapiga makachu katika eneo la Forodhani kuendelea na Shughuli zao kwa kuzingatia taratibu zilizoanishwa katika mikataba itakayosainiwa na vijana hao...