Maji safi na salama ni janga la kitaifa. Miaka 60 ya uhuru mnashindwa kusambaza maji safi na salama. Mfano ni mji kama Chato upo kma moja karibua na ziwa lakini wananchi hawapati maji safi na salama.
Elimu imeporomoka mithili ya barafu mlima kilimanjaro. Mmjejenga mashule kibao ya kata. Lakinj...
Huyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa.
Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao...
Mwl. Nyerere alishituka Ile 80% waliokataa vyama vingi nchini. Sio wananchi ni viongozi makada wa CCM ndio waliokataa mifumo ya kidemokrasia hadi leo?
Je ni maelekezo au ni Falsafa ya 4R kutoka kwa Mh. Rais Samia. Ndio uliokipa ushindi wa chama chake wa 98.9% kwenye uchaguzi wa serikali za...
Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Longdon kata ya Sokoni One Jijini Arusha, wamedai kuwa hawatashiriki uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti wa eneo hilo kutokana na aliyeongoza kupata kura za maoni 189 jina lake limekatwa na aliyepata kura 36 jina kurejeshwa kama...
Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Viwandani kata ya Unga Limited Jijini Arusha, wametishia kutompa kura za ndio mgombea wa uenyekiti wa mtaa huo kupitia chama hicho endapo aliyeshinda kura za maoni hatawekwa kama mgombea katika nafasi hiyo.
Wanachamama hao...
KWAMBA WASIOJULIKANA HAWACHAGUI WA KUWADHURU? AU TUNAJARIBU KUBALANCE MAMBO DAKIKA ZA JIOOOOOOOOONI, KUELEKEA SEPTEMBER 23
——
Watu wasiojulikana wanadaiwa kumvamia na kummwagia kimiminika kinachosadikiwa kuwa tindikali, kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Idrissa Makishe...
Inasikitisha unapo ona vyombo vya kutoa haki vinacheza na maisha ya Watanzania kwa sababu za maamuzi ya makada.
Hii kesi ya Soka na wenzake ni mfano ambao una onyesha jinsi haki zinavyozidi kupindishwa kwa maslahi ya kundi fulani
Hivi ni kweli Jaji anaweza kusema hakuna ushahidi wa kwamba hawa...
Joto la siasa limezidi kupanda Mkoani Kilimanjaro hususani Jimbo la Moshi Mjini ambapo inasemekana baadhi ya Viongozi wa CCM Mkoani hapo wameanza harakati za kuusaka Ubunge kupitia makundi mbalimbali ya kijamii na ya Mitandaoni.
Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema, Viongozi hao...
Wote tunakumbuka Daniel Yona alifungwa Jela kwa Ufisadi aliofanya akiwa Waziri
Basil Mramba alifungwa Jela kwa Ufisadi aliofanya akiwa Waziri
Rajab Marandu alifungwa Jela kwa Ufisadi wa EPA
Hii ndio rekodi pekee ambayo Shujaa Magufuli aka Jiwe hakuivunja
Ramadan Kareem 😄
Zitto Kabwe amesema kuwa
''Katika marekebisho ya sheria za uchaguzi Serikali imebakiza wakurugenzi wa halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi kitu ambacho nadhani si sahihi kwa sababu wakurugenzi wengi wa halmashauri ni makada wa CCM hawawezi kutenda haki, kwahiyo hili ni eneo ambalo...
Mara baada ya kuibuka maneno mengi mitaani kuwa Chama cha Waganga wa Tiba Asilia na Tiba Mbadala Mkoa wa Simiyu kina makada wengi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwenyekiti wa umoja huo, Mayunga Kidoyai amefafanua kuwa taaluma yao au kazi ya mtu binafsi haiwezi kuingiliana na suala la kichama kwa...
Bila kujali Itikadi na kuwa mkweli mfumo wa kuteua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri DED ulianzishwa na Shujaa MagufulI.
Hata Shirika nyeti la TTCL alipelekwa kada wa CCM aliyefeli kura za Maoni za ubunge.
Nimemsikia Ripoti ya CAG na ile ya Takukuru zikitaja Wizi wa Mabilioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.