Imagine mtu anatembea bara barani sehemu finyu then akuoneshi motion ya kupishana kama vile wewe unavyomuonesha, anatembea towards you kama vile presence yako haipo hio yote ili wewe umpishe kwa kujibana bana coz yeye ndio pisi kali matawi ya juu mwenye wiggle wiggle.
Sasa wakikutana na no...
Haya wanaume jibuni hili fumbo, kuna ukweli wowote katika hili?
Kama ni kweli mbona wanaume wa Tanzania wanapenda sana Minyambizi?
Yani Minyambizi ndio inaendesha range na wembamba Passo.
Siku kadhaa nyuma nilibahatika kuwa na wazungu waliokuja hapa ofisini kwetu kwa shughuli flani.
Katika story za hapa na pale wakaniuliza kwa nini wanawake wengi wa kiafrica wamenenepa makalio?
Nikawajibu ndio raha yetu sisi wanaume zao tukiyaona.
Jamaa wakaniambia kule kwao mwanamke akiwa na...
Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu.
Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa.
Na mwanamke priority yake ni kupenda...
Kwa nini wanaume Waafrika/blacks wanapenda/kuvutiwa au kupagawa na wanawake wenye makalio makubwa sana tofauti na wanaume wa kizungu na sehemu kubwa ya Asia kama China, Japan, Korea n.k ambao huvutiwa zaidi na wanawake wenye makalio madogo?
Mitazamo ya uzuri wa mwanamke siyo ya kudumu, inabadilika kulingana na nyakati.
Enzi za mabibi zetu wanawake wenye mwanya walionekana kuwa ndiyo warembo zaidi. Ikawalazimu bibi zetu kubomoa meno ya mbele ili kupata pengo litakalohesabika kama mwanya.
Enzi za mama zetu, wanawake wenye rangi ya...
Habari za Jumapili wakuu;
Katika maisha mahusiano, kitu kinachoitwa mapenzi kuna wakati hulazimika kupiganiwa ili yadumu.
Hii ni kutokana watu wawili wanaopendana wana makuzi na tabia tofauti.
mwanzo wa mapenzi huwa mtamu sana, lakini hufika wakati wa kujuana tabia ndipo mapenzi huyumba...
Hii imekaaje wanazengwe
Yaani nikiona mzigo wenye makalio makubwa akili aifanyi kazi vizuri.
Sina uhakika kama ubongo wangu uko-wired vizuri, inawezekana makalio makubwa yanasababisha shoti sehemu
Hili tatizo napatwa wapi matibabu yake?
Ukihitaji salamu subiri kwanza FaizaFoxy anikubalie ombi langu,tofauti na hapo utaambulia gunzi ukapikie Mapupu!
Sometimes huwa nawashangaa baadhi ya wanaume kumtupia lawama kijana Harmonize kwa kupenda Mishangazi yenye matako makubwa!
Hivi nani aliwaambia wanaume wa Kiafrika hawapendi...
Nisiwafiche, Nyie ni vibonge tuu... Msijione kama Nyie ndo namna gani vipi sio.... Mnariiiinga kisa hayo manyama? Nyie ni vibonge tu kama vibonge wengine.
Leo nimeingia tawi moja hivi la NMB hapa town, Ile nafika tu nakuta teller anapiga umbea na mwenzie wa dirisha lingine na sio kwamba...
Nimekuwa Teja la kutupwa la matako makubwa ya wanawake. Popote ninapoyaona napagawa nakuduwaa ni kama nimepigwa shoti na umeme.
Nipo tayari nifanye lolote Ili niishie kuyaminyaminya. Na sasa hivi hali imekuwa mbaya zaidi nimekuwa hoi mahututi Mimi sijiwezi. Matako Niue.
Nahonga pesa kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.