makalio

Andrew Makalio (born 22 January 1992) is a New Zealand rugby union player who currently plays as a hooker for Tasman in New Zealand's domestic Mitre 10 Cup and for the Crusaders in the international Super Rugby competition.

View More On Wikipedia.org
  1. Sarah Baartman: Mwanamke mweusi kutoka Afrika Kusini aliyesafirishwa Ulaya kwa maonesho ya makalio makubwa

    Alitekwa miaka ya 1780 ivi huko South Africa akapelekwa ulaya kwenye madanguro, akafa, hakuzikwa ila alifanyiwa upasuaji wa ubongo, makalio yake makubwa na sehemu za siri zikawekwa maabara uko ufaransa na uingereza. Then Mandela alienda kurudisha mabaki ya mwili wake (chini ya mabishano makali...
  2. Kuwa mnene au mwenye makalio makubwa isiwe kigezo cha mwanamke kuwa mchekeshaji (comedian)

    Ninaandika nikiwa na masikitiko makubwa kuona maumbile ya wanawake yanatumika kwenye mambo ya kijinga. Miaka ya hivi karibuni tasnia ya uchekeshaji (comedy) imezidi kuchanja mbuga na kufanya makubwa. Kwa sasa wachekeshaji nao wanaingiza pesa nyingi kama wasanii wengine tofauti na zamani...
  3. Dawa za kuongeza makalio zinaua figo, maini na kusababisha saratani

    Wakati baadhi ya wanawake wakizichangamkia dawa za asili za kuongeza ukubwa wa makalio, watalaamu wamesema mpaka sasa hakuna dawa iliyothibitishwa na Mamalaka ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) hivyo wajiepushe nazo. Tahadhari hiyo inatolewa huku matangazo ya dawa hizo pamoja na za kuongeza matiti na...
  4. Kama una demu, mchumba au mke anapiga picha huku makalio ameyatazamisha kwenye kamera hapo ujue kabisa hauko peke yako.

    Mada inajieleza. Usije kusema sijakutonya. Ukiona makalio yametazamana na camera sijakuambia muachane ila nimekuambia tu kuwa wewe pia uko kwenye foleni.
  5. Ni kweli wanaume wanapenda makalio makubwa?

    Imesemekana kwamba wanaume wanapenda sana makalio makubwa. Je, ni kweli na kwanini? Imani maarufu Inaaminika kuwa wanawake walio na muundo wa mgongo uliopinda wanaweza kusawazisha uzito wao kwenye viuno wakati wa ujauzito. Inafaa zaidi wakati wa ujauzito na husababisha majeruhi machache ya...
  6. Makalio makubwa yageuka kuwa silaha pekee kwa wasichana wengi siku hizi

    Nimefanya kajiutafiti nikagundua wanawake wengi wa Kitanzania au kiafrica wamekuwa tegemezi sana kwenye silaha moja tu. MAKALIO YAO",Asilimia kubwa ya wanawake wamekuwa wakitumia makalio yao"Wowowo"Kuwanasa wanaume haswa maofisini n.k. Nimejiuliza bila makalio mbinuko hawa watu wangetumia nini...
  7. S

    Wanawake acheni ujinga. Kuvaa mipira hii ya makalio kuna madhara makubwa sana. Hizo kitu zinataka hewa

    Hata kama wahenga walisema ukitaka uzuri sharti udhurike lkn siyo kwa kuvaa mipira hii ya kukuza na kuonesha makalio. Ni hatari sana. Maumbile ya kike yanahitaji sana hewa. Ndiyo maana kwa enzi na enzi mwanamke amekuwa akivaa mavazi yenye kuruhusu hewa kufika kwa wingi kwenye sehemu zake za...
  8. Kubinuka kwa makalio ya wanawake kwenye bodaboda

    Wasalaam Wakuu, Aisee naomba niende kwenye mada husika moja kwa moja juu ya wanawake kujibinua makalio yao wakiwa kwenye Bodaboda hasa hapa jiji la Joto- Darusalama Hii imekuwa ni kama fashion kwa kila mwanamke,hawezi kukaa kwa kunyooka bila sawasawa ila mpaka abinue kiuno chake na kalio lake...
  9. Prince Harry aringishia Makalio yake!

  10. Kadri mnavyopagawa na makalio na sisi ile miili ya mazoezi inatupeleka kona hiyo hiyo

    Nataka kuanza mazoezi nimekua kama mdudu wapendwa,kuna ka gym karibu na goli langu hapa ila sasa huwa nawashahudia ile miili jamani...mmh..nyie Inahitaji kujitambua sana kuiacha kama ilivyo. By the way nahitaji mwanamke anaepiga mazoezi tupeane changamoto na fursa katika hili swala la kupungua...
  11. A

    Usichukulie poa, nyumba ni choo

    UPDATES: ===== Moderator: Hii thread Imefungwa kwa sababu Sheria za Tanzania na Kanuni Mpya za Maudhui 2020, haziruhusu Mijadala kama hii. Asante Hii thread ni vyura kwenda mbele tu wazee kina Behaviourist, Mrangi na TIASSA tukutane hapa. Tujitahidini iwe clean no nudity!
  12. Wanawake wasio kuwa Na makovu/ weusi Kati Kati ya mapaja hatarini kutoweka

    Ndio maana wanaume wengine kabla haja lala Na mwanamke mpya huwa wanaomba watumiwe Kwanza picha za utupu at least waone muonekano WA ndani. Siku hizi imekuwa NADRA Sana kukutana Na mwanamke ambae Hana makovu makovu au maukurutu katikati ya mapaja. Tatizo Ni Nini? HII ishu huwa inanikata sana...
  13. Kwanini wanawake wengi wa siku hizi wana makalio makubwa?

    Yaani leo nipo kkoo katika wanawake 10 unaopishana nao basi 7 wamefungasha na wana mizigo kweli. Nini siri ya mafanikio? English figure zinaanza kupotea
  14. Baba awachoma Watoto wake makalio kwa panga lenye moto

    Mkazi wa Kata ya Marangu Mashariki wilayani hapa, Baltazari Mtui anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuwaunguza makalio watoto wake wawili wa kiume. Inadaiwa kuwa baba huyo aliweka panga kwenye moto kisha akawaunguza watoto hao ambao ni wanafunzi wa darasa la kwanza na la pili katika Shule ya...
  15. Kwanini wanaume wengi hampaki makalio yenu mafuta

    Wanawake wengi wamebaini kuwa mwanaume unaweza kumkuta anang'aa uso, na sehemu zingine ila makalio yao yamepauka na wengine yanatoka ukurutu kwa sababu ni nadra sana kupaka makalio yao mafuta baada ya kuoga. Ni mjadala nilioukuta saloon moja hapa mjini kati. Wanaume jipakeni mafuta na makalio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…