Habari Wanajamvi?
Huu uchaguzi wa nafasi za juu CHADEMA, unaibua mambo mbalimbali ya kushangaza na kufurahisha kutoka kwa MACHAWA wa ngome mbili tofauti zilizotangaza nia ya kugombea uongozi ndani ya CHADEMA.
Kuna Kamanda wa CHADEMA kule kwenye mtandao wa X anayefahamika kwa jina la Freddie...
Hii ni taarifa iliyotolewa na IDF
The Director of Hamas Security Operations in the Gaza Strip, Major General Mahmoud Abu Salah as well as his Assistant and the Director of Investigations, Brigadier General Hussam Shahwan were both Eliminated by an Israeli Airstrike last night near Khan Yunis in...
Tuko hapa Machame, wilayani Hai mkoani Kilimanjaro na hivi, ndivyo tunavyozitumia pesa za kikoba cha mjomba.
Asitokee mtu wa kutaka kukipora kikoba chetu, labda akaanzishe chakwake.
Makamanda piiiipoooz (kwa sauti ya mjomba)
Ni mambo yakikuda sana wanayofanya makamabda wa CHADEMA.
Eti ebu wewe mwenyewe fikiria.
Mbowe aliitisha maandano ya kupinga kutekwa na kuuawa kwa wananchi ila cha ajabu hakuna kamanda hata mmoja aliyejitokeza wote walichimba docho!
Soma Pia: Mbowe arudisha fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA...
Ndiyo nipo kwenye vijiwe vya kahawa ndiyo habari kubwa ni hiyo ya makamanda wanalalamika eti pesa zinaliwa na wachache tu huku juu tu ila makamanda wa chini hawaambulii hata thumni ndiyo maana chama kinalega lega na kuleta migogoro ya mara kwa mara kabisa! Mmmmh ngoja tuone linaishaje hili saga...
Hivi yule kiongozi wa BAWACHA Aliedai alitekwa, akateswa na kudhalilishwa huko kwenye misitu kibiti anaendeleaje kwasasa makamanda?
Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi apone haraka.
Nimewiwa kumjulia hali tu kwakweli, my friends, ladies and gentlemen 🐒
Mungu ibariki Tanzania.
Mkuu wa Majeshi unatakiwa uwe na Sura za Kazi Kazi hasa kama za Marehemu Jenerali Musuguri, CDF Mstaafu Jenerali Mabeyo na huyu wa sasa Jenerali Mkunda. Mkuu wa Majeshi kamwe hupaswi kuwa na Sura laini laini ambazo zinachochea Kutabasamu na Kuchekacheka bali zinatakiwa ziwe Sura Ngumu na za Kazi...
News alert IDF yafanya shambulizi kubwa Beirut, yalipua makao makuu ya Hezbollah, karakana ya kuunda silaha chini ya ardhi, yaua makamanda waandamizi 3
Wadau hamjamboni nyote?
Jeshi la Israel limefanya mashambulizi makubwa na kusambaratisha kituo kikuu cha uongozaji cha Hezbollah huko Beirut...
Daaaaaaaah...... Nakosa la kusema kabisa. Sielewi. Nadhani Hezbollah na Hamas sasa wabadilishe mbinu. Nani anakuwa anavujisha uwepo wao? Hii wadau imekaaje kitaalamu,kimbinu na kimedani?
Adiosamigo Ritz na wenzetu wengine. Sasa hapa tunafanyaje? Sisi mpaka sasa tumemuua Mkuu wa Majeshi wa...
Walidai ni megastructures zisizo na faida.
====
Tanzania has completed the construction of the Magufuli Bridge on L. Victoria, Mwanza.The 3.2 Km bridge becomes the longest in East Africa costing $300 million.The bridge has reduced travel time to 4 minutes from 2 hours.
Hivi Leo mkuu wa kamandi ya kijeshi CENTCOM inayo operate katika maeneo ya mashariki ya Kati Gen .mike kurilla amekutana na viongozi wa kijeshi wa ngazi ya juu wa Israel katika kikao huko Tel Aviv ili kuisaidia Israel kupanga namna ya kulipa kisasi kwa Iran baada ya shambulio baya la Oktober 1...
Israel ameanza kujibu kidogo kidogo.... Tayari Makamanda watatu wa Irani wameenda Akhera. Si vibaya wameenda ku enjoy life ya huko. Mapambano bado yanaendelea. Khayatollah amefichwa sana.
https://x.com/DrEliDavid/status/1841523855556268509?t=c1jUfEiQD-FrDRjcNB0F7Q&s=19
Ndugu zangu Watanzania,
Mtumishi wa Mungu mpakwa Mafuta Mchungaji peter Msigwa ameyasema hayo na kutoa kauli hiyo inayoonyesha kuwananga wale wanaojiita makamanda kutoka kule alikokuwa awali,ambako unaweza kusema Misiri ya awali.
Ambapo sasa anafurahia Maisha ndani ya Canaani ambayo ni...
Waziri wa ulinzi wa Iran anakamilisha swali kuwa jana waliuwawa ni viongozi wakuu wa Hizbbolah waliuwawa ikiwa ni pamoja na kiongozi wao wa kijeshi,huu unamaana walikuwa kwenye kikao cha mwisho cha kujibu mashambulizi makubwa baada ya tamko la kiongozi wao mkuu baada ya simu kulipuka .
Hii...
Wametekwa na kupotezwa Ben Saanane, huyu mzee Kibao, kuna makamanda kibao hawajapatikana mpaka sasa.
Mlichobakiza ni kulalama huko X na JamiiForums.
Je, siku Chairman akitekwa na kupotezwa?
Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.
Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.