Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillius Wambura amefanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi wa mikoa ili kuboresha na kuongeza ufanisi wa utendaji katika mikoa mitatu ya Tanzania Bara.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Januari 6, 2023 na Msemaji wa Jeshi la Polisi, David...