makamba atumbuliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    The senior party member stepped down, tired or forced out?

    On this two week the political atmosphere of a long-established political party was in turmoil after the removal of two of the two ministers whom was believed to be son of the kanali Following that instead yesterday we have learned about the retirement of kanali, the caption above caption is...
  2. J

    Uzuri wa Comedy journalism Unasifiwa ukiwa na Cheo na Unapondwa Ukitumbuliwa, Kitenge na Zembwela ni kama sasa hawawajui Nape na January!

    Ukisikiliza wanavyochambua Magazeti na kuwaponda Watumbuliwa wa hivi karibuni huwezi amini kama Nape alikuwa Boss Wao juzikati tu na walimtukuza sana Ni vema hawa Watangazaji wa Kuigiza wakaweka Akiba ya Maneno Ni hilo tu Ahsanteni Sana 😂
  3. J

    Hayati Magufuli alimtumbua January Makamba 21/07/2019, na Rais Samia amemtumbua 21/07/2024. Tumbuzi zote mbili ni Mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi mkuu

    Haya mambo huendaga na Nyota kwahiyo mh January tarehe 21 July inakuwaga na jambo lake Ila natania tu 😃😃 Kwako Mshana Jr kilingeni Miono Pia soma Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe Uteuzi na Utenguzi...
  4. Mkongwe Mzoefu

    January Makamba sasa ni wakati wa kuriudi Lushoto kushirikiana na Wenzako Barabara Magamba-Mlalo na Mlola ziwe za lami

    Mmetumia nguvu nyingi kutaka kupata kura za wananchi ili kujijengea maslahi yenu lakini Wabunge wilaya ya Lushoto hamjawahi kushirikiana kujenga wilaya yenu. Maeneo mengi hayana maji wala barabara njema vijijini jimbo la Lushoto na Mlalo kwa sababu Wasambaa na Wambughu hawana tabia ya kuwa...
  5. S

    VIDEO: Huu ulikuwa mwanzo wa mwisho wa January

    Huenda huu ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho wa safari ya kisiasa ya Mbunge na mwanasiasa machachari toka Chama tawala nchini Tanzania Bw January Yusuph Makamba. Pia soma > Kuelekea 2025 - Makamba: Hata kama hatumkubali Rais Samia, ni wetu
Back
Top Bottom