makamba kuwa makamu wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Afadhali Ibaki kuwa ndoto tu na isiwe kweli! 2025, January Makamba kuwa Makamu wa Rais, hatimaye kuwa Rais?

    Naombea iwe ndoto tu tena ya mchana isiyokuwa na uhalisia wowote Ndoto hii naikemea kwa nguvu zote, maana! Mmh! Iwapo itakuwa kweli mbona itakuwa mwisho wa nchi hii kuwa na matumaini yoyote ya walala hoi siku moja kuondokana na ulala hoi wao..! Ndoto niliyoletewa iko hivi..! 2025! Makamu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…