makamba out

James Makamba (born 1 January 1952) is a Zimbabwean commercial broadcaster, businessman, politician, philanthropist and father of late Zimbabwean media personality Zororo Makamba. Makamba currently has interests in the retail, telecommunications, mining, agricultural, property and professional consultancy sectors, digital publishing and philanthropy. He sits on the boards of IBBAMO Foundation, JHL Investments, Thurlow & Company, the Kestrel Corporation (Pty) Ltd, African Business Connect, Makamba & Associates, Telecel Zimbabwe and Anglo African Minerals.
Makamba holds a master's degree in Business Administration from California Coast University. In 2012, James Makamba was awarded a controversial honorary doctorate in Business Leadership from St Linus University, Dominica.
Makamba is married to Irene Makamba. They have 4 children.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Hayati Magufuli alimtumbua January Makamba 21/07/2019, na Rais Samia amemtumbua 21/07/2024. Tumbuzi zote mbili ni Mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi mkuu

    Haya mambo huendaga na Nyota kwahiyo mh January tarehe 21 July inakuwaga na jambo lake Ila natania tu 😃😃 Kwako Mshana Jr kilingeni Miono Pia soma Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe Uteuzi na Utenguzi...
  2. January Makamba sasa ni wakati wa kuriudi Lushoto kushirikiana na Wenzako Barabara Magamba-Mlalo na Mlola ziwe za lami

    Mmetumia nguvu nyingi kutaka kupata kura za wananchi ili kujijengea maslahi yenu lakini Wabunge wilaya ya Lushoto hamjawahi kushirikiana kujenga wilaya yenu. Maeneo mengi hayana maji wala barabara njema vijijini jimbo la Lushoto na Mlalo kwa sababu Wasambaa na Wambughu hawana tabia ya kuwa...
  3. S

    VIDEO: Huu ulikuwa mwanzo wa mwisho wa January

    Huenda huu ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho wa safari ya kisiasa ya Mbunge na mwanasiasa machachari toka Chama tawala nchini Tanzania Bw January Yusuph Makamba. Pia soma > Kuelekea 2025 - Makamba: Hata kama hatumkubali Rais Samia, ni wetu
  4. J

    Pre GE2025 Nape na Makamba walisamehewa na Magufuli na Ubunge wakapewa lakini alipokufa Wakaendelea kumsimanga marehemu, Exodus 14:14 imehusika sasa!

    Katika Ulimwengu wa Roho hakunaga jambo Dogo Waislamu husema Mtu akifa basi hunenwa Mema yake na yale mabaya huachiwa yeye mwenyewe na Mungu wa mbinguni Uzi huu si kwa ajili ya hawa Watumbuliwa la hasha bali Wote wenye Tabia ya kuwanenea mabaya marehemu Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…