Makambako is a medium-sized town and district in the Njombe Region of the Tanzanian Southern Highlands, located roughly 40 miles north of Njombe city by road. It is located at junction of the A104 and B4 roads between Njombe, Iringa, and Mbeya. Its population according to the 2002 Tanzanian census was 51,049.
Mdau wa Maendeleo toka Halmashauri ya mji Makambako Mhema Oraph ameiomba serikali ipunguze matuta ya barabarani kwani yamekuwa yanachelewesha muda na kuharibu vyombo vya usafiri.
Mhema ametoa ombi hilo kwa Waziri wa viwanda na biashara akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani Njombe ambapo pia...
Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Balozi , Dk. Pindi Chana amekinadi Chama cha Mapinduzi huku akiwaomba wananchi kuchagua wagombea wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27,2024.
Ameyasema hayo katika Mkutano wa hadhara...
Wagombea wa nafasi ya Uenyekiti mitaa ya Mwembetogwa, Azimio na Lumumba iliyopo kata ya Mwembetogwa Halmashauri ya mji Makambako, wakieleza sera zao kwa wananchi ili wawachague katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaofanyika November 27 mwaka huu.
Wakuu,
Jeshi la polisi Halmashauri ya mji Makambako,limesema kuwa limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama katika kipindi cha chote cha kampeni ili vyama vyote vya kisiasa vifanye kampeni zao kwa usalama bila kupata changamoto yoyote.
Hayo yameelezwa na Mrakibu mwandamizi wa polisi...
Aisee Mimi ni mkazi wa Arusha siku zote nilijua Arusha ndio Kuna bridi kuliko mikoa mingine Tanzania😂😂😂 Uwiii sintakaa nisahau siku nilimpeleka Mwanangu kureport Form Five Makambako Secondary School ( Government School) eeeeeh 🤔. Tulipanda basi ya Mbeya inapita Makambako, na lazima Bus kupita...
RAIS SAMIA AAGIZA BARABARA YA SONGEA - NJOMBE - MAKAMBAKO KUANZA KUJENGWA UPYA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Ujenzi kukamilisha maandalizi na kuanza kujenga upya barabara ya Songea - Njombe - Makambako (km 295) pamoja na ujenzi wa...
Hii ni kutokana na jiografia na maandiko ya waasisi na viongozi waliokuwa nyanda za juu kUsini mfano MBUNGE wa eneo husika ndugu JM Makweta aliweza KUANDIKWA KATIKA vitabu vyake mbalimbali mfano creation of greater makambako ,Karibu njombe nyanda za juu kUsini nk hata kilomita zinaonyesha...
Mbunge wa Jimbo la Madaba, Joseph Mhagama amesema Wananchi wa Jimbo hilo na wengine wa maeneo ya Jirani pamoja na wengine wanaotumia Barabara ya Makambako kuelekea Songea yenye urefu wa Kilometa 296.
Amesema Barabara hiyo imebomoka vibaya na inahatarisha watumiaji wa vyombo pamoja na...
Ni Muda mwafaka tanroad kuifungua Barabara ya makambako hadi mlimba kuungana na iliyotoka Ifakara kwa ni wananchi wengi kipande hichi wamekuwa wakitumia treni kama ndo usafiri wao na kwanini wafungue hii Barabara kwanza ni Barabara itakayo kuwa na km chache kama 160 ukilinganisha na ya lupembe...
Serikali imesema kuwa imeanza taratibu za tathmini ya eneo la makaburi ya Idefu - Makambako na taratibu za malipo zitaanza baada ya kuidhinishwa na Mthamini Mkuu wa Serikali.
Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), alipokuwa akijibu swali...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inatarajia kuanza kujenga upya barabara ya Songea – Njombe - Makambako kwa kiwango cha lami kutokana na barabara hiyo kuwa nyembamba na muda wake kuisha.
Bashungwa amesema hayo Wilayani Ludewa, mkoani Njombe wakati akizungumza na...
Hii video nimeirekodi leo hii Januari 10, 2024 nikiwa maeneo ya Shule ya Mwembetogwa, Wilayani Makambako Mkoani Njombe.
Hivi ndivyo uhalisia wa maji ulivyo kuhusu Makambako na viunga vyake mfano maeneo ya Lupila na Kitisi.
Mimi ni mgeni eneo hili nina miezi kadhaa lakini tangu nimefika...
Hii itasaidia kupunguza msongamano dsm kwa sababu mikoa husika imesha weka dhamira ya miji hii kuwa na bandari kavu.
2 miji hii imezungukwa na maeneo yenye uzalishaji wa mazao ya chakula ya kutosha ambayo pia ni malighafi viwandani, 3 Nimiji iliyo kaa kimkakati kutokana na Geographical position...
Kwenda macca kwa jambo la kiimani ni ishara kubwa sana kwa muislamu yoyote yule, na lazima tabia zake pia ziakisi heshma ya Macca na uislamu.
Haji Manara alikuwa mwalimu wa madrasa, na amepiga sana madufu na ngoma za daku usiku kucha.
Lakini tangu atoke Macca amekuwa mtu wa hovyo sana, na...
Wakuu hapa Makambako Kuna mzani wa Magari makubwa, kwa kweli hii mezani imewekwa eneo la ovyo sana,, eneo ni finyu halina mzunguko mzuri wa magari,
Mabasi, magari madogo na Malory yanaishia kuviziana tu ili yapishane,, hii inaweza kupelekea ajali kabisa,,
Wahusika sijui(TANROAD) fanyeni...
Moja ya ya vipande ambayo vinasheeni makazi katika tazam road ni dsm to morogoro km 195na mbeya to makambako km 172 vina fanana ni vipande ambayo baada ya miaka mitano makazi yatakuwa yameungana kutokana na ukuaji wa vimiji vya barabarani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.