makambako

Makambako is a medium-sized town and district in the Njombe Region of the Tanzanian Southern Highlands, located roughly 40 miles north of Njombe city by road. It is located at junction of the A104 and B4 roads between Njombe, Iringa, and Mbeya. Its population according to the 2002 Tanzanian census was 51,049.

View More On Wikipedia.org
  1. Makambako: Serikali ipunguze matuta ya barabarani yanachelewesha muda na kuharibu vyombo vya usafiri

    Mdau wa Maendeleo toka Halmashauri ya mji Makambako Mhema Oraph ameiomba serikali ipunguze matuta ya barabarani kwani yamekuwa yanachelewesha muda na kuharibu vyombo vya usafiri. Mhema ametoa ombi hilo kwa Waziri wa viwanda na biashara akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani Njombe ambapo pia...
  2. Hivi ni mji gani mdogo Tanzania unaouzidi Makambako kibiashara na miundombinu kama Barabara za mtaani

    Hivi ni kuna mji gani mdogo Tanzania unaouzidi Makambako kibiashara na miundombinu kama Barabara za mtaani?
  3. LGE2024 Dkt. Pindi Chana: Amewaomba wananchi wa Makambako kuchagua wagombea wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Balozi , Dk. Pindi Chana amekinadi Chama cha Mapinduzi huku akiwaomba wananchi kuchagua wagombea wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27,2024. Ameyasema hayo katika Mkutano wa hadhara...
  4. LGE2024 Makambako: Wagombea Uenyekiti Mwembetogwa Wajipambanua kwa Ajenda za Maendeleo

    Wagombea wa nafasi ya Uenyekiti mitaa ya Mwembetogwa, Azimio na Lumumba iliyopo kata ya Mwembetogwa Halmashauri ya mji Makambako, wakieleza sera zao kwa wananchi ili wawachague katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaofanyika November 27 mwaka huu.
  5. LGE2024 Polisi Makambako: Tutaimarisha ulinzi kipindi chote cha kampeni Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Jeshi la polisi Halmashauri ya mji Makambako,limesema kuwa limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama katika kipindi cha chote cha kampeni ili vyama vyote vya kisiasa vifanye kampeni zao kwa usalama bila kupata changamoto yoyote. Hayo yameelezwa na Mrakibu mwandamizi wa polisi...
  6. Sitasahau safari ya makambako

    Aisee Mimi ni mkazi wa Arusha siku zote nilijua Arusha ndio Kuna bridi kuliko mikoa mingine Tanzania😂😂😂 Uwiii sintakaa nisahau siku nilimpeleka Mwanangu kureport Form Five Makambako Secondary School ( Government School) eeeeeh 🤔. Tulipanda basi ya Mbeya inapita Makambako, na lazima Bus kupita...
  7. Rais Samia Aagiza Barabara ya Songea - Njombe - Makambako Kuanza Kujengwa Upya

    RAIS SAMIA AAGIZA BARABARA YA SONGEA - NJOMBE - MAKAMBAKO KUANZA KUJENGWA UPYA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Ujenzi kukamilisha maandalizi na kuanza kujenga upya barabara ya Songea - Njombe - Makambako (km 295) pamoja na ujenzi wa...
  8. Shule nzuri kwaajili ya tuition pre-form one kati ya makambako au iringa

    Natumaini wote ni wazima na weekend inaenda sawa. Msaada tafadhali shule iwe ya bweni🙏
  9. M

    Makambako inadaiwa ndo katikati ya mikoa ya nyanda za juu kUsini kijiografia

    Hii ni kutokana na jiografia na maandiko ya waasisi na viongozi waliokuwa nyanda za juu kUsini mfano MBUNGE wa eneo husika ndugu JM Makweta aliweza KUANDIKWA KATIKA vitabu vyake mbalimbali mfano creation of greater makambako ,Karibu njombe nyanda za juu kUsini nk hata kilomita zinaonyesha...
  10. Makambako na Dodoma wapi chimbo sahihi la kubeba mzigo wa nguo za mitumba?

    Tafadhalini wakuu nisaidieni hapa kwa sasa nipo iringa lengo nikajumue kwa bei nafuu hapa iringa gharama kubwa. Asanteni.
  11. Mbunge Joseph Mhagama: Barabara ya Makambako – Songea imeharibika vibaya, lini Serikali itasikia kilio chetu?

    Mbunge wa Jimbo la Madaba, Joseph Mhagama amesema Wananchi wa Jimbo hilo na wengine wa maeneo ya Jirani pamoja na wengine wanaotumia Barabara ya Makambako kuelekea Songea yenye urefu wa Kilometa 296. Amesema Barabara hiyo imebomoka vibaya na inahatarisha watumiaji wa vyombo pamoja na...
  12. LATRA yaruhusu Mabasi ya Dar - Mtwara yapite Barabara ya Songea, Makambako, Iringa kwa dharura

  13. M

    Wazo la kufungua barabara ya Makambako to Mlimba

    Ni Muda mwafaka tanroad kuifungua Barabara ya makambako hadi mlimba kuungana na iliyotoka Ifakara kwa ni wananchi wengi kipande hichi wamekuwa wakitumia treni kama ndo usafiri wao na kwanini wafungue hii Barabara kwanza ni Barabara itakayo kuwa na km chache kama 160 ukilinganisha na ya lupembe...
  14. Serikali imesema kuwa imeanza taratibu za tathmini ya eneo la makaburi ya Idefu

    Serikali imesema kuwa imeanza taratibu za tathmini ya eneo la makaburi ya Idefu - Makambako na taratibu za malipo zitaanza baada ya kuidhinishwa na Mthamini Mkuu wa Serikali. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), alipokuwa akijibu swali...
  15. Waziri Bashungwa: Barabara ya Songea - Njombe - Makambako Kujengwa Upya

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inatarajia kuanza kujenga upya barabara ya Songea – Njombe - Makambako kwa kiwango cha lami kutokana na barabara hiyo kuwa nyembamba na muda wake kuisha. Bashungwa amesema hayo Wilayani Ludewa, mkoani Njombe wakati akizungumza na...
  16. Maji ya bomba Makambako ni machafu na mamlaka ya maji (NJUWASA) ipo kimya

    Hii video nimeirekodi leo hii Januari 10, 2024 nikiwa maeneo ya Shule ya Mwembetogwa, Wilayani Makambako Mkoani Njombe. Hivi ndivyo uhalisia wa maji ulivyo kuhusu Makambako na viunga vyake mfano maeneo ya Lupila na Kitisi. Mimi ni mgeni eneo hili nina miezi kadhaa lakini tangu nimefika...
  17. M

    Kahama na Makambako hii miji iandaliwe kuwa miji ya viwanda na biashara kwani imeanza kujipambanua kama Kwala Pwani

    Hii itasaidia kupunguza msongamano dsm kwa sababu mikoa husika imesha weka dhamira ya miji hii kuwa na bandari kavu. 2 miji hii imezungukwa na maeneo yenye uzalishaji wa mazao ya chakula ya kutosha ambayo pia ni malighafi viwandani, 3 Nimiji iliyo kaa kimkakati kutokana na Geographical position...
  18. Mimi kama muislamu najiuliza, Haji Manara alienda Macca au Makambako?

    Kwenda macca kwa jambo la kiimani ni ishara kubwa sana kwa muislamu yoyote yule, na lazima tabia zake pia ziakisi heshma ya Macca na uislamu. Haji Manara alikuwa mwalimu wa madrasa, na amepiga sana madufu na ngoma za daku usiku kucha. Lakini tangu atoke Macca amekuwa mtu wa hovyo sana, na...
  19. Hii Mizani ya Magari makubwa(weight bridge) hapa Makambako imekaa eneo baya sana

    Wakuu hapa Makambako Kuna mzani wa Magari makubwa, kwa kweli hii mezani imewekwa eneo la ovyo sana,, eneo ni finyu halina mzunguko mzuri wa magari, Mabasi, magari madogo na Malory yanaishia kuviziana tu ili yapishane,, hii inaweza kupelekea ajali kabisa,, Wahusika sijui(TANROAD) fanyeni...
  20. M

    DSM TO MORO NA MBEYA TO MAKAMBAKO TAZAM ROAD HIVI NI VIPANDE VYA BARABARA VINAVYO UNGANA MAKAZI NA BAADA YA MIAKA MITANO YATAKUA YAMEUNGANA

    Moja ya ya vipande ambayo vinasheeni makazi katika tazam road ni dsm to morogoro km 195na mbeya to makambako km 172 vina fanana ni vipande ambayo baada ya miaka mitano makazi yatakuwa yameungana kutokana na ukuaji wa vimiji vya barabarani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…