Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema Elizabeth Mwakimomo, amesema mabadiliko katika nchi hii yataletwa na chadema na kuongezea kuwa Kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ni za kiudhalikishaji kwa wanawake na lina shusha hadhi ya wanawake kwa ujumla.