makamu mwenyekiti ccm bara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Tetesi: January Makamba kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara

    Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia. Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka. Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za...
  2. Tujadili kwa uwazi kisheria kuhusu kujiuzulu kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Abdulrahman Kinana. Sheria, Katiba na Kanuni zihusike

    Ibara ya 19(b) ya Katiba ya CCM ya 1977, Toleo la 2022 inatoa fursa ya Kiongozi KUJIUZULU. UTARATIBU Makamu Mwenyekiti CCM anapojiuzulu hutakiwa kukabidhi barua ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa chama Taifa. Kisha, Mwenyekiti anatakiwa Kikatiba (CCM) kuipeleka kwenye Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…