Wakuu,
Leo tarehe 06 Machi 2025 Makamu Mwenyekiti Bara wa CHADEMA John Heche na Naibu Katibu Mkuu Bara Amani Gulogwa wamefika nyumbani kwa marehemu Prof. Phillemon Mikol Sarungi kutoa pole kwa familia.
Prof. Phillemon Mikol Sarungi amefariki jana tarehe 05 Machi 2025.
Wakuu,
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche akiongea hivi karibuni amesema kuwa vyombo vya habari nchini Tanzania vinaipendelea CCM na kwamba vyombo vingi vinaripoti vibaya CHADEMA
Akitolea mfano, Heche alisema kuwa:
"Vyombo vya habari angalia coverage wanayofanya, wanafanya coverage ya...
Wakuu,
Akiwa anaongea siku ya leo, Heche ametaja kiwango ambacho mbunge analipwa kwa mwezi
Heche anasema nchi hii inaibiwa na imedumaa
Soma, Pia: Martin: Wabunge wanalipwa posho zaidi ya TSh. Milioni 86 kwa siku Bungeni Dodoma. Ama kweli Siasa ni Mchongo!
Wakuu
Mamia ya Wananchi wa kijiji cha Kiloleni-Busega wamejitokeza Kumlaki Mhe. Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa, John Heche akiwa njiani kuelekea Lamadi huko Simiyu kwenye Mapokezi baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Pia, Soma:
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti...
Wakuu,
Muda wowote kutoka sasa Heche atatua hapo Lamadi, Simiyu ambako anatarajiwa kutoa neno, ambako ataenda Bunda na Kisha kumalizia Tarime Mjini kabla ya kupokelewa rasmi kesho Februari 13, 2025.
Akizungumza huko Tarime, Heche amewahasa wananchi wa Tarime kuiunga mkono CHADEMA kutokana na...
Tumia dakika zako 10 kuziangalia hizi videos kuuona ujasiri na msimamo wa Makamu mpya wa Chadema
John Heche alichomjibu Magufuli akiwa ziarani Tarime
Hii ni baada ya kukatazwa kufanya mkutano
Heche na Polisi wavutana baada ya kuripoti Polisi Sirari na Tarime Rorya
Wakuu,
Aliyekuwa anagombea Makamu Mwenyekiti upande wa Zanzibar Said Said ajiondoa kwenye kinyanga'nyiro hicho
Pia soma Pre GE2025 - Nafasi ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar kurudiwa baada ya kutokuwa na mgombea aliyefikisha zaidi ya 50%
Wakuu
Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, ambaye pia ni Mtia Nia wa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Ezekiel Wenje, anazungumza muda huu na Waandishi wa Habari.
https://www.youtube.com/live/qAERflDyoZU
Aliyoyazungumza Ezekiel Wenje
"Marafiki zangu wote...
Heche anajulikana kwa ubinafsi, huku hekima na busara vikimpitia pembeni kama ilivyo kwa Lissu.
Lakini pia ni Heche ni muoga sana field ukilinganisha na majigambo yake kwenye mikutano au press. Ana maadui wengi zaidi chadema sambamba na Tundu Lissu anaeona kila mjumbe wa mkutano mkuu chadema au...
Anatia huruma sana for sure. Ni ngumu kwake, lakini anajaribu kua jasiri kuonyesha ni rahisi kwa namna ambayo haimpi ahuweni wala faida ya kisiasa, nadhani anajiumiza zaidi na kujiongezea udhaifu.
Succession plan ichukue mkondo na nafasi yake kuimarisha ustawi wa Chadema ijayo sasa.
Upo...
Ni mwanamikakati makini mwenye dhamira, nia na maono ya mbali sana, anayejua siasa za Tz vyema na kusoma alama za nyakati vizuri sana.
Naona amejipanga, ameanza vizuri kwa kutaratibu na anakuja vizuri mno kwenye safu ya juu ya uongozi chadema kitaifa.
Ni muungwana asie mbishi wala...
Wenye akili tulitegemea anaitisha mkutano kuweka mikakati namna ya kukabiliana na chaguzi zijazo za kitaifa za serikali, kumbe anaitisha mkutano kuwatangazia mahasimu wa Chadema kuwa anagombea madaraka.
Kazi kubwa ya Wenyeviti sasa kwa Chadema ni namna ya kuzikabili chaguzi zijazo za taifa...
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa aliyoisambaza kwa vyombo vya habari.
Makamu Mwenyekiti wa sasa wa Chadema ni Tundu Lissu, ambaye kama ataitaka tena nafasi hiyo basi atalazimika kupambana na Wenje na wengine watakaojitokeza.
Tunatoa wito kwa Wanachama wengi zaidi kujitokeza kuwania nafasi za Juu...
Huu hapa ni Mkutano wa hadhara kwenye Kijiji cha Kinyeto, Jimbo la Singida Kaskazini, uliofanyika leo saa 3 asubuhi .Ikumbukwe kwamba Lissu amekwisha toa angalizo la kufuatiliwa na kikundi cha Wasiojulikana, ambako tayari kishawashitaki kwa umma.
Pia soma Kuelekea 2025 - Ushauri kwa Tundu...
Habari yako mhe. Tundu Lisu?
Nina imani huko ulipo umzima wa afya wewe na familia yako, hivyo wengi ndio furaha yetu sisi tunaopenda kuona kila binadam yuko salama, mzima na mwenye afya njema.
Leo nimeamua kukuandikia wewe mwenyewe direct humu kwa lengo la kukufungua macho na akili yako...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ambaye yuko Mkoani Singida kwa ajili ya Mikutano ya Kijiji kwa Kijiji, ametangaza hadharani kwamba, kuna watu wanaomfuatilia kila anapofanya mikutano yake ya hadhara na kwamba watu hao Hawajulikani kuwa miongoni mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.