CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar kimesema bila mabadiliko ya sheria na mifumo ya uchaguzi nchini, hakutakuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka huu.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Mzee Miraji amesema hawatakubali kuwa na sheria mbovu za uchaguzi na haiwezekani wakurugenzi...