Dkt. Michael Usi ameapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Malawi katika hafla iliyofanyika katika Bunge la nchi hiyo mjini Lilongwe. Mchekeshaji huyo aliyebadilika kuwa mwanasiasa anachukua nafasi ya Saulos Chilima, ambaye alifariki katika ajali ya ndege mapema mwezi huu.
Dkt. Usi ameahidi kuheshimu...
Siku za karibuni, tutasikia Makamu wa Rais wa Malawi atazikwa.
Ukizingatia mkoa waRuvuma umepakana na nchi ya Malawi,ninashauri Mkuu wa huo mkoa amwakilisge Rais kwenye mazishi hayo ili kupunguza gharama.
Ni mawaxo yangu, ila safari za nje zinatuumiza sisi wanyonge.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.